Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Hata Yanga alikuwa na ratiba ngumu pia ila tukaenda kushinda TunisiaMbeya City imecheza mechi J5 na kusafiri kwa basi hadi Dar. Utopolo inapendelewa sana ..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata Yanga alikuwa na ratiba ngumu pia ila tukaenda kushinda TunisiaMbeya City imecheza mechi J5 na kusafiri kwa basi hadi Dar. Utopolo inapendelewa sana ..
A robot is not an ideal or perfect machine. It's efficiency is not 100%.
There should be inefficiencies at some point.
Tena refa wa katiWakati Simba wakinufaika na goli la offside Juzi, Leo Yanga wananyishwa goli halali kabisa hapa refa anadai ni offside..
Paka hapo ushajua nani anagawa bahasha
Kwani walizuiwa kupanda ndegeMbeya City imecheza mechi J5 na kusafiri kwa basi hadi Dar. Utopolo inapendelewa sana ..
Mayele akacheze World CupTukiendelea na hekaheka za kombe la dunia pia Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwenye dimba la Benjamin Mkapa ambapo Yanga anaikaribisha Mbeya City.
24' ⚽ Yanga inatangulia kwa goli lililofungwa na Fiston Mayele.
33' Moloko anajaribu lakini beki wa Mbeya City anaweka mguu na mpira unabadili mwelekeo. Yanga wanapata kona isiyoleta matokeo.
37' 🟡 Kayoko anamlambisha kadi ya njano Joseph kwa kumshusha chini Kibwana Shomari
38' Tuisila Kisinda anawekaaa mpira nyavuni, refa anapuliza kipenga kuashiria sio goli.
44' Mbeya city wanaingiza krosi maridadi na kumpita Diarra lakini shuti linapaa juuuu
45+2' Mapumziko
49' Mpira umerejea kutoka mapumziko na unachezwa zamu kwa zamu
78' ⚽ Mayeleeeeee, anamalizia krosi maridadi kutoka kwa Moloko. Yanga 2-0 Mbeya City
90' Mpira unatamatika dimba la Benjamin Mkapa. Keki yenye namba 49 inatawala uwanjani
Acha unaa dogo, utakuwa mchawi.
Hahahahaha.. umekubali Simba inatoa bahasha sio
Ukocheza Yanga alafu ukiwa serious basi lazima kiwango kipande tuKwa kiasi fulani Moloko anaanza kupiga accuracy cross. Kocha awekeze kwake atakuwa bora zaidi.
Mtu Akifanya vizuri hata ukimchukia unajiumiza bure tu.Kuna watu Wana chuki na Mayele utadhani amewagongea wake zao...
Ukitakata ujue ilo hebu msifie Mayele utawaona watavyotoka mafichoni kuja kukosoa