Yanga 2-0 Mbeya City | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

Tff inapata fedha nyingi kutoka kwenye huo Uwanja mbona mapato huwa yanatangazwa tena kwa % ina maana hujawahi kusikia kuhusu hilo mpaka BMT pia wana mapato wanapata..
Uwanja wa serikali wewe acha ubishi,wanachukua makato ya uwanja ni serikali,BMT ni baraza la michezo Tanzania, ndiye mwenye dhamana ya michezo kwa niaba ya serikali,sharti wapate Kama tff wanavopata Kama wenye mpira
 
Mkuu washauri wakuu wa ule uwanja ni TFF kuhusu ubora wa pitch na vitu vingine ndio maana unaona tff wanaweza kufungia viwanja vya ccm ambavyo haviko kwenye ubora...tff ina kamati inayosimamia viwanja ubora wake hata kikiwa cha kwako wao wana dhamana hiyo..
 
Inahusiana nini na kupokea hela ya uwanja!?
 
Back
Top Bottom