Yanga 2-1 Biashara United | ASFC | Benjamin Mkapa

Yanga 2-1 Biashara United | ASFC | Benjamin Mkapa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Hatua ya 16 bora ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kuendelea kushika kasi leo.

Je, ni timu gani kufuzu kwa hatua ya robo fainali kuungana na Geita Gold na AzamFC? Ni Yanga Vs Biashara united

Lets go

=========

BAADA ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa katika mchezo wa Kombe la Shirikisho umesoma Yanga 2-1 Biashara United.
Mabao yote yamefungwa kipindi cha kwanza katika mchezo wa leo ambao ulikuwa na ushindani mkubwa.

Ni Yannick Bangala alianza kupachika bao la kuongoza na bao la pili likafungwa na Fiston Mayele.

Kwa upande wa Biashara United bao lilifungwa na Collins nyota anayevaa jezi namba 37 na bao lake alipachika dakika ya 37.
 
Naona Line 1 ameshaanza maruwe ruwe! Mchezaji hakuwa kwenye offside position, kafunga goli! Anashangilia! Yeye ananyoosha kibendera!
 
Back
Top Bottom