Yanga acheni kujiita Wananchi!

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami



Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao zaidi. Yaani Mafisi na badala yake kujiita ati Wananchi! 🤣🤣😂

Hivi nyinyi Yanga mnapojiita Wananchi huwa mnamaanisha nini kama sio kubagua timu za wananchi wenzenu kuwa sio wananchi kama nyinyi? Tafadhali sana serikali, kupitia kwa wizara husika, ituondolee huu ukaburu katika soka la bongo ambalo linataka sana kutekwa na siasa!
 
Sasaaa,tangu lini watu(wananchi)wakafananishwa na wanyama🤔
 
unateseka ukiwa wapi mama?
 

Haya jiite wewe mwanachi
Watu wengine ovyo saana
 
Form 2B.
 
Kama wewe ni mtu wa mpira huwezi kusema huo ni ubaguzi kwani zipo timu nyingi sana zinazotumia hiyo nickname na kwenye soka sio dhambi kama wao wananchi sisi wenyenchi. Mfano Manchester City - The Citizens
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…