Kishimbe wa Kishimbe
JF-Expert Member
- Jul 18, 2013
- 5,566
- 5,477
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami
Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao zaidi. Yaani Mafisi na badala yake kujiita ati Wananchi! 🤣🤣😂
Hivi nyinyi Yanga mnapojiita Wananchi huwa mnamaanisha nini kama sio kubagua timu za wananchi wenzenu kuwa sio wananchi kama nyinyi? Tafadhali sana serikali, kupitia kwa wizara husika, ituondolee huu ukaburu katika soka la bongo ambalo linataka sana kutekwa na siasa!