Yanga acheni kujiita Wananchi!

Yanga acheni kujiita Wananchi!

Kishimbe wa Kishimbe

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
5,566
Reaction score
5,477
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami

OIP.71pWWHA-qXhRUFY3dIEE0AHaHa

Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao zaidi. Yaani Mafisi na badala yake kujiita ati Wananchi! 🤣🤣😂

Hivi nyinyi Yanga mnapojiita Wananchi huwa mnamaanisha nini kama sio kubagua timu za wananchi wenzenu kuwa sio wananchi kama nyinyi? Tafadhali sana serikali, kupitia kwa wizara husika, ituondolee huu ukaburu katika soka la bongo ambalo linataka sana kutekwa na siasa!
 
Simba anapojipatia mawindo yake MAFISI huanza kujichekeshachekwsha kama FISI za watani zangu Wagogo zinapovuka Barabara za lami!
OIP.71pWWHA-qXhRUFY3dIEE0AHaHa
.... na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa Simba huko nyikani kama MAFISI. Sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao Zaidi ... yaani MAFISI na badala yake kujiita ati WANANCHI! 🤣🤣😂

Hivi nyinyi Yanga mnapojiita WANANCHI huwa mnamaanisha nini kama sio kubagua timu za wananchi wenzenu kuwa sio wananchi kama nyinyi!!? .... TAFADHALI SANA SERIKALI, KUPITIA KWA WIZARA HUSIKA, ITUONDOLEE HUU UKABURU KATIKA SOKA LA BONGO AMBALO LINATAKA SANA KUTEKWA NA SIASA!

NB: TAFADHALI SANA MODS MSIUFUTE WALA KUUHAMISHA UZI HUU JUKWAA LA SIASA! ... MAANA SOKA LETU LA SIMBA NA YANGA LINATAKA KUHARIBIWA NA WANASIASA WENYE MLENGO WA UKABURU-MAMBOLEO-BONGO!
Sasaaa,tangu lini watu(wananchi)wakafananishwa na wanyama🤔
 
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami

OIP.71pWWHA-qXhRUFY3dIEE0AHaHa

Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao zaidi. Yaani Mafisi na badala yake kujiita ati Wananchi! 🤣🤣😂

Hivi nyinyi Yanga mnapojiita Wananchi huwa mnamaanisha nini kama sio kubagua timu za wananchi wenzenu kuwa sio wananchi kama nyinyi? Tafadhali sana serikali, kupitia kwa wizara husika, ituondolee huu ukaburu katika soka la bongo ambalo linataka sana kutekwa na siasa!
unateseka ukiwa wapi mama?
 
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami

OIP.71pWWHA-qXhRUFY3dIEE0AHaHa

Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao zaidi. Yaani Mafisi na badala yake kujiita ati Wananchi! [emoji1787][emoji1787][emoji23]

Hivi nyinyi Yanga mnapojiita Wananchi huwa mnamaanisha nini kama sio kubagua timu za wananchi wenzenu kuwa sio wananchi kama nyinyi? Tafadhali sana serikali, kupitia kwa wizara husika, ituondolee huu ukaburu katika soka la bongo ambalo linataka sana kutekwa na siasa!

Haya jiite wewe mwanachi
Watu wengine ovyo saana
 
Simba anapojipatia mawindo yake fisi huanza kujichekeshachekesha kama fosi za watani zangu Wagogo zinapovuka barabara za lami

OIP.71pWWHA-qXhRUFY3dIEE0AHaHa

Na hakuna mnyama hasimu mkubwa wa simba huko nyikani kama mafisi. sasa nashangaa kwanini watani zangu wa Yanga wakaacha kuchukua jina linaloshabihiana na tabia zao zaidi. Yaani Mafisi na badala yake kujiita ati Wananchi! 🤣🤣😂

Hivi nyinyi Yanga mnapojiita Wananchi huwa mnamaanisha nini kama sio kubagua timu za wananchi wenzenu kuwa sio wananchi kama nyinyi? Tafadhali sana serikali, kupitia kwa wizara husika, ituondolee huu ukaburu katika soka la bongo ambalo linataka sana kutekwa na siasa!
Form 2B.
 
Kama wewe ni mtu wa mpira huwezi kusema huo ni ubaguzi kwani zipo timu nyingi sana zinazotumia hiyo nickname na kwenye soka sio dhambi kama wao wananchi sisi wenyenchi. Mfano Manchester City - The Citizens
 
Back
Top Bottom