Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.

Hapo ulipo hata buku huna,sembuse milion?
Kwanza hiyo fine unalipa kwa nani?
 
Nilichonifunza kutokana na hii thread ni muhmu sana kuweka akiba ya maneno.
 
Mods tafadhali Sana msameheni mwananchi mwenzetu
[emoji169][emoji172][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ