Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
JIPIGE BAN MWENYEWE HATUNA MUDA WA KUCHEZEA TUNASHEHEREKEA USHINDI DUNIA NZIMA INA FURAHA
 
Kajitakia
Timu Bora Simba Inayojulikana Duniani Imejipigia Yanga Mpaka Maji Wanaita Mmaa
 
Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
1681667413094.png

Asante Mods kwa kuniitikia, ila pia mfanye utaratibu wa hiyo sh. Milioni Moja, lazima achangie uendeshaji wa JF, unapigwa ban halafu ukimaliza unalipa hela, kama Manara kwa TFF vile 😁😁😁
 
Back
Top Bottom