Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

Yanga akifungwa leo nipigwe ban mwaka mzima

Kwa kikosi cha Makolo nilichoona Yanga akifungwa leo yaan YANGA apoteze point tatu leo nipigwe BAN ya Mwaka mzima na faini ya milion moja.
Bado unamshikamano na ahadi yako😂
 
Watende haki kama walivyotenda kwa huyu 😁😁😁
Screenshot_20230416_192055.jpg
 
Mimi ni mwananchi na bado nina imani na team yangu. Yanga safiiiiiiiiii
 
Wewe kula hata ban ya maisha ila jf bring back half american, that njcca is of substance
 
Back
Top Bottom