Yanga akili kubwa, kuleta jezi mpya ni kukomesha wezi wa jezi feki

Yanga akili kubwa, kuleta jezi mpya ni kukomesha wezi wa jezi feki

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
16,911
Reaction score
28,469
I salute you kinsmen.
Wakuu

Yanga nimewavulia kofia kwa kweli!

Yaani hii team watu wana akili kupitiliza
Nakushukuru sana Mungu wa mbinguni kunifanya niwe yanga hakika sijawahi kujutia kabisa.

Leo Yanga wamezindua jezi mpya ambazo zimetengenezwa na kampuni ya NIA, zikiwa na muundo ule ule lakini zikiboreshwa kwenye kitambaa bora zaidi na pia material mazuri zaidi na sio GSM tena.

Malengo ya yanga kuleta toleo hili la pili ni kwasababu zifuatazo.

1: Yanga walileta jezi pisi milioni na nusu takribani, na zikaisha zote kwa bei ya jumla wauzajii walikuja kununua.

Na zikaisha zote wauzaji madukani walimaliza kabisa.

Lakini cha ajabu bado wanaona madukani jezi zipo tele kabisa za kumwaga. Tafsiri yake ni nini?

Ni kuwa kuna mtu alienda kutoa jezi feki kibao na kuzisambaza madukani.

Hivyo kuikosesha team mapato na sasa yanga wamekuja na mbinu babkubwa sana!

Kutengenenza jezi toleo jingine ikiwa na chapa ya manufacturer ambaye ni NIA na sio GSM tena .

Ili wananchi wapate kezi quality kabisa na zaidi huyo anayetoa feki acopy na hiyo ya NIA sasa kama anaweza!

Mzigo alionao wote utaishia mikononi mwake yaani hasara tupu atapata.

Either abandue logo ya GSM awake NIA🤣

Yanga wanatufundisha mpira kwa vitendo kisomi zaidi,
Klabu zingine za hovyo hovyo na jalalani kama simba wanatakiwa wajifunze hili.

Its Pancho

snapins-ai_3730123535965504246.jpg
snapins-ai_3730120539504385439.jpg
 
Jezi orijino ama jezi radmi Ni Jezi ya Aina gani ?
Ama Ina sifa zipi ?
Jezi orijino kwamba yanga wao wenyewe wanatengeneza jezi feki??

Nikikuuliza jezi origino ya Barcelona ni ipi? Yaani ile OG ambayo barca wanatengeneza ina sifa zipi? Ya aina gani?
 
Zinaingizeaje? Kama jezi feki zinaingizwa... Mambo mangapi yanaingizwa nchini ambayo ni fake? Mtu
Ali kamwe mwenyewe amesema kuwa jezi feki ni ngumu sana kufuatilia yaani watu wana mtandao mkubwa

Utakumbuka hata simba wao pia wamelalamika.kuwa jezi feki zimezaa mtaani wanakosa mapato sana .

Nao wametoa onyo kuanza msako ila ni kazi bure watu wamevaa mtaani..


Ndio maana yanga wamegundua kufanya msako ni kupoteza muda tu , sasa wameleta toleo la pili ili kuua lile tolea la kwanza feki sababu zile za mwanzo walizoleta ziliisha zinazouzwa mtaani ni feki mkuu.


Huoni hiyo ni akili kubwa?
 
Unaambiwa swala ni jezi feki wewe unaleta upumbavu wako hapa.

Hujasikia simba wanalalamika jezi feki mtaani na wao wanashindwa kumaliza mzigo?

Je nazo feki pia??

Tumia akili
Kabla ya kupayuka.niambie zile jezi za zamani kazipeleka wapi? Hasara Kwa nani?
Na Kwa akili Yako matope unadhani hizo watu hawawezi kutoa feki zake?🤣🤣🤣
 
Ukiwa na mahaba na hizi timu kila kitu utachambua na kueleza kwa upeo wa kijinga
Shida ni ilipo akili yako fupi kama mavi ya asubuhi hatukulaumu wenye akili wameelewa vizuri tu tatizo lilipo sio wewe kigagula
 
Back
Top Bottom