I salute you kinsmen.
Wakuu
Yanga nimewavulia kofia kwa kweli!
Yaani hii team watu wana akili kupitiliza
Nakushukuru sana Mungu wa mbinguni kunifanya niwe yanga hakika sijawahi kujutia kabisa.
Leo Yanga wamezindua jezi mpya ambazo zimetengenezwa na kampuni ya NIA, zikiwa na muundo ule ule lakini zikiboreshwa kwenye kitambaa bora zaidi na pia material mazuri zaidi na sio GSM tena.
Malengo ya yanga kuleta toleo hili la pili ni kwasababu zifuatazo.
1: Yanga walileta jezi pisi milioni na nusu takribani, na zikaisha zote kwa bei ya jumla wauzajii walikuja kununua.
Na zikaisha zote wauzaji madukani walimaliza kabisa.
Lakini cha ajabu bado wanaona madukani jezi zipo tele kabisa za kumwaga. Tafsiri yake ni nini?
Ni kuwa kuna mtu alienda kutoa jezi feki kibao na kuzisambaza madukani.
Hivyo kuikosesha team mapato na sasa yanga wamekuja na mbinu babkubwa sana!
Kutengenenza jezi toleo jingine ikiwa na chapa ya manufacturer ambaye ni NIA na sio GSM tena .
Ili wananchi wapate kezi quality kabisa na zaidi huyo anayetoa feki acopy na hiyo ya NIA sasa kama anaweza!
Mzigo alionao wote utaishia mikononi mwake yaani hasara tupu atapata.
Either abandue logo ya GSM awake NIA🤣
Yanga wanatufundisha mpira kwa vitendo kisomi zaidi,
Klabu zingine za hovyo hovyo na jalalani kama simba wanatakiwa wajifunze hili.
Its Pancho
View attachment 3479493View attachment 3479494