Yanga akili kubwa, kuleta jezi mpya ni kukomesha wezi wa jezi feki

Yanga akili kubwa, kuleta jezi mpya ni kukomesha wezi wa jezi feki

Kabla ya kupayuka.niambie zile jezi za zamani kazipeleka wapi? Hasara Kwa nani?
Na Kwa akili Yako matope unadhani hizo watu hawawezi kutoa feki zake?🤣🤣🤣
Hueleweki!

Mara jezi mbovu mara now hawawezi kutoa fake.

Mara za zamani zimeenda wapi!

Point ni ipi?

Acha nikutoe ujinga yanga walileta jezi makao makuu zikauzwa zote hizo sio shida zao mzigo walimaliza haijalishi muuzaji dukani hajauza sana au lah sio shida za yanga..

Shida ipo pale wanaona jezi zinazidi kufyatuliwa feki kila siku na wao wanaona hela inapotea kwao.

Wameleta toleo jengine ili kufidia faida yao.

Sasa nani kasema kuwa hawawezi kufyatua feki? Wanafyatua ila itakuwa too late lengo la yanga kupata faida haraka ya toleo hili ambalo limeboreshwa zaidi.

Huna akili kigagula wewe utaipatia wapi mshamba wewe hujui hata mambo yalivyo?

Hujui hii theory ya survival for the fittest?
 
Takuwa wa mwisho kuamini jezi ziliisha si kweli wauzaji wa rejareja bado wanazo jezi og kilicho fanyika nikuwaumiza tu wafanya biashara
Elewa mkuu
Wauzaji kuwa nazo hizo sio shida za yanga kabisa

Yanga waliuza jezi zote zilipoletwa day one pale makao makuu

Hivyo wameleta jezi zingine ili kuziuza tena kwa wauzaji wa rejareja ili kufidia faida tena ya hizo feki zilizojaa mitaani..

Sasa unaongelea wauzaji wa rejareja wakati makao makuu hakuna jezi?.

Mwenye duka auze hiyo jezi asiuze sio shida za yanga wao wanachojali wameleta jezi wakaiuza kwenda mitaani iwe og na sio feki..
 
fine mnaakili Sana mkuu, hamjali kabisa watu wa chini hii ndo tz akili moja
 
fine mnaakili Sana mkuu, hamjali kabisa watu wa chini hii ndo tz akili moja
Hapana
Kwanini watu watengeneze jezi feki?

Wangenunua orijino nani angewasumbua?

Shida ni ujanja ujanja wa watu wachacge tu wanawaponza wengine

Sasa huruma ndio kuwaacha wawavalishe watu vitu feki mkuu?
 
Unaambiwa swala ni jezi feki wewe unaleta upumbavu wako hapa.

Hujasikia simba wanalalamika jezi feki mtaani na wao wanashindwa kumaliza mzigo?

Je nazo feki pia??

Tumia akili

Wew tofauti yako na nzi ni mabawa tuu, kwaiyo hizo jezi mtatoa mara ngap ili kudhibit jezi fake??

Jezi mbovu zile na hizi pia jezi mbovu.
 
Back
Top Bottom