jamaa yuko right,kwa kitendo hiki inachokifanya timu yangu ya yanga ni kuwa, inaenda kuwaogopesha wafanyabiashara wa jezi, kwamba mimi kama mfanyabiashara naenda kununua jezi makao makuu ya yanga naanza kuuza dukani kwangu, bado sijamaliza mzigo nasikia taarifa tena kuwa kule makao makuu kuna jezi toleo jingine na ikionekana jezi inauzwa mtaani toleo tofauti na la makao makuu hiyo ni jezi feki,wakati mimi mfanyabiashara nililangua kwenu.Kwahiyo yanga wakusikilize wewe kigagula mmoja?
Hatupokei ushauri
Wewe kweli sio mtu anayejua kureasonHawa simba na yanga sijui haziongozwi na watu wasomi au viongozi wana ulaji ktk hizo wanazodai ni jezi feki,kwanza nipende kusema tu hizo wanazosema ni jezi feki je zina madhara gani kwa sisi watumiaji? Kama hakuna madhara kwa nini hivi vilabu havitengenezi jezi kuendana na soko? Watu wengi zaidi wanapenda jezi za bei rahsi,kwa nini usitengeneze jezi ya 15k na kuzimwaga sokoni? Kama utakuwa unatengeneza jezi za 15k unafikiri kuna mtu pia ataenda kutoa jezi zingine auze nje ya vilabu hivi viwili? Lazma viongozi wetu waamke, watengeneze jezi kulingana na uhtaji wa soko.
Kama waliweza kufyatua hizo za awali hata hizi ndani ya mwezi tu tutaziona zimezagaa mtaani kwa buku 5.I salute you kinsmen.
Wakuu
Yanga nimewavulia kofia kwa kweli!
Yaani hii team watu wana akili kupitiliza
Nakushukuru sana Mungu wa mbinguni kunifanya niwe yanga hakika sijawahi kujutia kabisa.
Leo Yanga wamezindua jezi mpya ambazo zimetengenezwa na kampuni ya NIA, zikiwa na muundo ule ule lakini zikiboreshwa kwenye kitambaa bora zaidi na pia material mazuri zaidi na sio GSM tena.
Malengo ya yanga kuleta toleo hili la pili ni kwasababu zifuatazo.
1: Yanga walileta jezi pisi milioni na nusu takribani, na zikaisha zote kwa bei ya jumla wauzajii walikuja kununua.
Na zikaisha zote wauzaji madukani walimaliza kabisa.
Lakini cha ajabu bado wanaona madukani jezi zipo tele kabisa za kumwaga. Tafsiri yake ni nini?
Ni kuwa kuna mtu alienda kutoa jezi feki kibao na kuzisambaza madukani.
Hivyo kuikosesha team mapato na sasa yanga wamekuja na mbinu babkubwa sana!
Kutengenenza jezi toleo jingine ikiwa na chapa ya manufacturer ambaye ni NIA na sio GSM tena .
Ili wananchi wapate kezi quality kabisa na zaidi huyo anayetoa feki acopy na hiyo ya NIA sasa kama anaweza!
Mzigo alionao wote utaishia mikononi mwake yaani hasara tupu atapata.
Either abandue logo ya GSM awake NIA🤣
Yanga wanatufundisha mpira kwa vitendo kisomi zaidi,
Klabu zingine za hovyo hovyo na jalalani kama simba wanatakiwa wajifunze hili.
Its Pancho
View attachment 3479493View attachment 3479494
Haya maneno yote mkuu yame kutoka kwa ajili ya Jezi tu?I salute you kinsmen.

Kama vile watu wanavyo kunywa GONGO/MATAPUTAPU. Sio kuwa wanapenda. Hiyo bia moja 2,000+ , yeye analewea kwa siku mbili.Ni hivi. Watanzania wengi wa mikoani hununua jezi wakijua ni fake. Tatizo linalowakumba ni bei. Jezi feki anainunua kwa shilingi elfu 11 kushuka chini. Na anaridhika kabisa
Ni uongo.jezi za zamani zipo.na wauzaji wanazo madukani.ni uhuni tu wamefanyaKama jezi zote za awali ziliuzwa inamaana hakuna hasara Kwa Club na hizo jezi mpya zimezinduliwa kama fursa ya tangazo jipya kwenye jezi.
Yanga bingwa💚🖤🖤💛💛💪💪
Kumbe wahuni?Ni uongo.jezi za zamani zipo.na wauzaji wanazo madukani.ni uhuni tu wamefanya
Matapeli kabisaKumbe wahuni?
HahahaMatapeli kabisa