Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Vipi kuhusu Simba itashinda au ndo kama Yanga!Yanga wana dominate mpira lakini hawapeleki pressure kwenye timu pinzani
Wanaweza kushinda home lakini natabiri ugumu
Simba itashinda hilo sina wasi wasi kabisaVipi kuhusu Simba itashinda au ndo kama Yanga!
Kuna namna kocha anatakiwa afanye katika mifumo yake ya uchezeshaji timu. Inafanya mashambulizi kunakuwa na idadi ndogo sana ya wachezaji kwenye box la mpinzani. Na pia akubaliane na hali kuwa Farid, Moloko na Kisinda sio mawinga ni wazuraji hivyo ajipange kwa namna nyingineYanga wana dominate mpira lakini hawapeleki pressure kwenye timu pinzani
Wanaweza kushinda home lakini natabiri ugumu
Mh basi hata mechi ya Yanga haikufaa kuisha vile, ilipaswa iwe sare ya bila bila maana hakuna mpira wowote wa ajabu wa monastir zaidi kutegemea ufupi wa akina Kibwana.Simba itashinda hilo sina wasi wasi kabisa
Hata mechi ya jana haikufaa iishe vile basi tu ni bahati
Ila hii ya Yanga huwezi kusema bahati kwasababu uwezo wa wachezaji ndio ulioamua mechi kuliko mbinu za kocha
Yanga sijaona shambulizi la hatari iliyofanya kiasi wapate kauli ya kusema ni bahati iliwabeba Monastr
Sawa maoni yako ni hayo ila kwa upande wangu baada ya kuangalia mechi ya Jana na Leo, timu ya Jana ina uwezo mdogo kuliko inayokuja Raja, vilevile timu ya leo nayo sidhani kama ina uwezo kuliko Tp mazembe kwa hiyo naamini kwamba mechi zijazo Simba na Yanga hawawezi kushinda. Mechi tatu za mwanzo timu zetu zitaishia kupata point mojamoja tu kwa kutoa sare kule vipers na bamakoSimba itashinda hilo sina wasi wasi kabisa
Hata mechi ya jana haikufaa iishe vile basi tu ni bahati..
Hiki kikosi ni hatari nyieee Yanga kuna mvua jumapili itawashukiaaaa.Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili...
Halafu ukiacha kushabikia inatuathiri nini? Hayo ni maamuzi yako.Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili...
Ila leo Kisinda alikuwa na bahati ya kukutana na mipira katika nafasi nzuri tena akiwa peke yake lakini maamuzi yake ya mwisho yalikuwa poorKuna namna kocha anatakiwa afanye katika mifumo yake ya uchezeshaji timu. Inafanya mashambulizi kunakuwa na idadi ndogo sana ya wachezaji kwenye box la mpinzani. Na pia akubaliane na hali kuwa Farid, Moloko na Kisinda sio mawinga ni wazuraji hivyo ajipange kwa namna nyingine
Yap unaweza ukasema hivyo piaMh basi hata mechi ya Yanga haikufaa kuisha vile, ilipaswa iwe sare ya bila bila maana hakuna mpira wowote wa ajabu wa monastir zaidi kutegemea ufupi wa akina Kibwana.
Goli hufungwa baada ya kosa kufanyikaNdugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili...