Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 48,055
- 116,512
Simba kufungwa na Raja hilo linawezekanaSawa maoni yako ni hayo ila kwa upande wangu baada ya kuangalia mechi ya Jana na Leo, timu ya Jana ina uwezo mdogo kuliko inayokuja Raja , vilevile timu ya leo nayo sidhani kama ina uwezo kuliko Tp mazembe kwa hiyo naamini kwamba mechi zijazo Simba na Yanga hawawezi kushinda...mechi tatu za mwanzo timu zetu zitaishia kupata point mojamoja tu kwa kutoa sare kule vipers na bamako
Ila Simba kamwe haiwezi fungwa na Horoya wala Vipers kwa mkapa