Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira
Pamoja na ushabiki wangu wa mnyama, lakini huwa sitoi viapo ambavyo vipo nje ya control yangu. TP Mazembe ina wachezaji wanadamu, na Yanga ina wachezaji wanadamu, so lolote linawezekana. Ikitokea TP Mazembe wameamka wamechoka kwa kupigwa kipapai na wakafungwa, utajitetea vipi? Mimi nikiona ushindi unalalia upande fulani huwa naweka mzigo (nabet), lakini siwezi kuweka post za kinabii bila manufaa
 
Ni vizuri kama mioyo yenu finally imekubali kuachana naye, tunaelewa maumivu ya kuachika yanachukua muda kutulia. Basi mwacheni aende zake sasa, msimpigie hata hizo simu kumwambia eti aangalie future yake kumbe hamtaki tu kumwambia kuwa mnamuhitaji saana.

Muacheni ili miaka 2 ijayo awe anacheza pale mbele na Mohammed Mussa. Sasa hivi kaambiwa aongeze mwili kidogo na awe na nguvu zaidi, siyo mchezaji ana mwili kama mwanafunzi wa primary.
Mkuu siku hizi umekuwa mwana familia wa Feitoto au mwana familia ya Nabi au Hersi Saidi? Kiasi kwamba unajua hadi simu za watu wanazopigiana kama vile ni mke au mchumba wa mtu. Habari za kupigiwa simu umezipata wapi mwenzetu?
 
Naunga mkono hoja,,

Na Mimi mniitie PILI MATEGE.

kama UTOPOLO FC itamfunga TP Mazembe.

Sent from my 2201117SG using JamiiForums mobile app
🎶Dada Pili eeeh, unalinga nini eeeh, kuna warembo duniani kushinda wewe 🎶
wale wa shule za msingi za kitambo bila shaka watakuwa wanauelewa huu wimbo mahususi kwa Pili matege.
 
Hapa tupo pamoja Yanga maximum points anaweza kusanya kwenye hilo kundi ni 4 tu na sio zaidi ya hapo
Yanga hana uwezo wa kumfunga Monastir wala Tp Mazembe Taifa labda aambulie sare moja kwenye hizo mechi 2
Dah! haya nyie mna points ngapi mpka sasa?
 
Hapa tupo pamoja Yanga maximum points anaweza kusanya kwenye hilo kundi ni 4 tu na sio zaidi ya hapo
Yanga hana uwezo wa kumfunga Monastir wala Tp Mazembe Taifa labda aambulie sare moja kwenye hizo mechi 2
Au sio ndungu mchambuzi
 
Home vs MAZEMBE : Loss - 0 Points
Away vs Real Bamako: Loss - 0 Points
Home vs Real Bamako: Draw/Win -1/3 Points
Home vs Monastir: Draw/Loss - 1/0 Points
Away vs MAZEMBE: Loss - 0 Points

Total Points: 4 or Less

🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️🙆🏽‍♂️ Hakuna Robo Fainali ya Points 4 hata kama ni Kombe la Ma-loosers...😂😂😂

WEKA HII RISITI.... 😆😆
Nakuona nakuona mchambuzi 😂😂
 
Simba itashinda hilo sina wasi wasi kabisa

Hata mechi ya jana haikufaa iishe vile basi tu ni bahati

Ila hii ya Yanga huwezi kusema bahati kwasababu uwezo wa wachezaji ndio ulioamua mechi kuliko mbinu za kocha

Yanga sijaona shambulizi la hatari iliyofanya kiasi wapate kauli ya kusema ni bahati iliwabeba Monastr
UTI sugu ikiwapanda hua mnawashwa sana
 
Back
Top Bottom