SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Hapo ndiyo tutatofautiana. Wale watunisia wako kiwango cha juu zaidi ya Yanga, sioni mkiweza kuwafunga hata Dar, labda kwa mambo ya nje ya uwanja. Leo mfurahi kwa matokeo yale. Mrudisheni Feisal, mna mengi ya kuwasaidia kuliko kupoteza kwa kurudi kwake.Ni mpira, ngoja tuone nini kitafunwa wikiend ijayo. Mechi ya jana na ya leo hazikustahili kuisha hivi zilivyoisha. Makocha na wachezaji wana namna la kufanya ili kuliweka sawa kwenye mapungufu.