Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

Yanga akimfunga TP Mazembe naacha rasmi kushabikia mpira

Ndugu zangu sioni ni jinsi gani Yanga atamfunga giant TP Mazembe hapo Jumapili.

Kwa aina ya uchezaji wa Yanga wa kutegemea goli kipa afanye makosa ndio washinde siioni hiyo nafasi Jumapili.


View attachment 2515258
Nadhani sasa ushaona ni jinsi gani mazembe alivofungwa na Yanga
 
Sawa maoni yako ni hayo ila kwa upande wangu baada ya kuangalia mechi ya Jana na Leo, timu ya Jana ina uwezo mdogo kuliko inayokuja Raja, vilevile timu ya leo nayo sidhani kama ina uwezo kuliko Tp mazembe kwa hiyo naamini kwamba mechi zijazo Simba na Yanga hawawezi kushinda. Mechi tatu za mwanzo timu zetu zitaishia kupata point mojamoja tu kwa kutoa sare kule vipers na bamako
Naona ulikua una comment huku umejizima data ukidhani mpira ni maneno
 
Fuh kuna watu huwa wanajifanya wanajua kuchambua ball unaweza akaweka imani yako kwao kumbe hamna kitu
Ukishakuwa mchezaji wa TP Mazembe hata kama ni wakawaida tayari mentally ww utakuwa unajiona mkubwa, kwanza mazembe anamzidi yanga uzoefu nakila kitu nahawajawai kupoteza mchezo pale kwa mkapa.

Pili wanawafahamu vizuri wachezaji wengi wa yanga, tatu tofauti na waarabu wanaotumia xana akili kuliko nguvu ngozi nyeusi wakofiziki xana nawanafika xana miguuni, nne tayari wameshaokota points 3 nyumbani hawana presha wala hawatokuwa under pressure.

Hiyo game ngumu xana bora gama ya simba na raja kidogo inaonekana itakuwa open namianya yachances zakutengeneza magoli inaweza kupatikana kuliko game ya yanga na mazembe
 
Mwenye hii thread naamini tayari kashachukua maamuzi Bora kwake, kwenye huu mchezo pendwa hatutaki mamluki
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Home vs MAZEMBE : Loss - 0 Points
Away vs Real Bamako: Loss - 0 Points
Home vs Real Bamako: Draw/Win -1/3 Points
Home vs Monastir: Draw/Loss - 1/0 Points
Away vs MAZEMBE: Loss - 0 Points

Total Points: 4 or Less

[emoji2303][emoji2303][emoji2303] Hakuna Robo Fainali ya Points 4 hata kama ni Kombe la Ma-loosers...[emoji23][emoji23][emoji23]

WEKA HII RISITI.... [emoji38][emoji38]





Nyau ninyi bado mpooo??[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Kwa heri bwana mawawa kwenye ulimwengu wa mpira rasmi ,tulikupenda ila bana conco bamekupenda zaidi
 

Attachments

  • Ny.jpeg
    Ny.jpeg
    23.9 KB · Views: 3
Back
Top Bottom