Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

Na makolo
Tafuta fedha acha udunduka,Simba mlifungwa ndani na nje mwaka Jana walidhaminiwa na gsm?gemu za shirikisho mwaka juzi alifika Hadi fainali kwahiyo timu alizozifunga zinadhaminiwa na gsm?
 
Aishi nanula anajuta mpaka leo,duka kimekuwa genge,akitoka simba labda aebde namungo
 
Safi sana, doze ishaaza kazi rasim, na nyie muna points 6 zetu kwahyo 36+6 hiyo, hatujazungumzia idadi ya magli kama zitakuwa 7 au zaidi.
 
Sasa kama kulikuwa na rushwa takukuru inafanya kazi Gani kama mlijiridhisha na hiyo miamala?? Jengeni timu kwa kusajili wachezaji Bora sio akina mkwala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…