Yanga akizifunga timu zote zinazofadhiliwa na GSM atakuwa na point 36 kibindoni,Yanga Bingwa

GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.

Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata.

Wanayo familia kubwa sana, nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM

Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6, home and away games,

Yanga Bingwa
Na makolo

Tafuta fedha acha udunduka,Simba mlifungwa ndani na nje mwaka Jana walidhaminiwa na gsm?gemu za shirikisho mwaka juzi alifika Hadi fainali kwahiyo timu alizozifunga zinadhaminiwa na gsm?
 
Unauliza habari za November 5 kana kwamba hukusikia baadhi ya Viongozi wa Simba walipoiomba TFF na TAKUKURU wachunguze simu na miamala ya baadhi ya Wachezaji wao siku chache kabla ya Derby?

1.Walikuwa wameshtukia kitu gani?

2.Unajua ni Kwanini Simba iligoma kumwongezea Mkataba Clatous Chama na baadhi ya wenzake?

3.Hujiulizi ni kwanini Simba ilimchunia Aishi Manula baada ya ile derby? Kwanini haikwenda naye Egypt kwenye pre-season, na wala haikusema chochote juu yake siku ya Simba day, hadi Wakala wake akaanza kulia lia?
Aishi nanula anajuta mpaka leo,duka kimekuwa genge,akitoka simba labda aebde namungo
 
GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.

Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata.

Wanayo familia kubwa sana, nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM

Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6, home and away games,

Yanga Bingwa
Safi sana, doze ishaaza kazi rasim, na nyie muna points 6 zetu kwahyo 36+6 hiyo, hatujazungumzia idadi ya magli kama zitakuwa 7 au zaidi.
 
Unauliza habari za November 5 kana kwamba hukusikia baadhi ya Viongozi wa Simba walipoiomba TFF na TAKUKURU wachunguze simu na miamala ya baadhi ya Wachezaji wao siku chache kabla ya Derby?

1.Walikuwa wameshtukia kitu gani?

2.Unajua ni Kwanini Simba iligoma kumwongezea Mkataba Clatous Chama na baadhi ya wenzake?

3.Hujiulizi ni kwanini Simba ilimchunia Aishi Manula baada ya ile derby? Kwanini haikwenda naye Egypt kwenye pre-season, na wala haikusema chochote juu yake siku ya Simba day, hadi Wakala wake akaanza kulia lia?
Sasa kama kulikuwa na rushwa takukuru inafanya kazi Gani kama mlijiridhisha na hiyo miamala?? Jengeni timu kwa kusajili wachezaji Bora sio akina mkwala
 
Back
Top Bottom