Baba mtumishi
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 306
- 266
Na makoloGSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.
Walitaka kufadhili ligi kuu eti Simba na timu zote zivae jezi ya GSM, Simba wakasema mkifanya hivyo tunahamia ligi ya Burundi au Zambia TFF wakaufyata.
Wanayo familia kubwa sana, nusu ya timu za ligi juu zinafadhiliwa na GSM
Zote zikiamua kulipa fadhila kwa pwenti 6, home and away games,
Yanga Bingwa
Tafuta fedha acha udunduka,Simba mlifungwa ndani na nje mwaka Jana walidhaminiwa na gsm?gemu za shirikisho mwaka juzi alifika Hadi fainali kwahiyo timu alizozifunga zinadhaminiwa na gsm?GSM wana akili sana Waliifadhili Yanga kutangaza magodoro yao. Wakafadhili timu ndogo kutangaza Yanga.