Yanga anaweza kutofuzu robo finali CAFCC

Mwamba anakwambia "hawawezi shinda, labda draw au kupigwa."

Endelea kuishi kwa kukariria na kuishi kwa mazoea. Unadhani watu wako palepale milele.
 
Mpiga ramli hana bando akipata atarudi, Na hapo bado ramli zitakuwa nyingi sana safari hii kwa maana ndio kwanza moto unazidi kuwashwa na wananchi
 
Naon
Naona SAA hizi kinyeo kinakupwita kama askari wa zenji.
 
Wakati unaweka utabiri wako hapa ulikuwa umeingiziwa ukuni wa futi ngap?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…