Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
 
Simba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poi
 
Nathemaje...Bado hamjathema...yaani hadi mtheme..kulaanina.
 
Yanga mnaweweseka. Mlikuwa na expectations za hovyo. Hii siyo shirikisho.

Sasa mmeanza kuona ugumu mnaanza kutafuta pa kujifichia. Ili uwe bora yakubidi upambane na waliobora na uwashinde.

Tulieni dawa iwaingie.
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
 
Simba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poi
Simba Ana point 2 kwenye KUNDI la aina Gani? Ukiwa unalinganisha pia uweke na data vizuri usisahau
 
Kutoka kuingia fainali za cafcl mpaka kutamani kundi la Simba. Simba kwa Sasa ipo kiwango Cha Chini ndio maana unaongea hivyo. Simba iliwahi kumaliza group stage ikiwa ya kwanza ikiongoza dhidi ya Al Alhly na hata kumfunga hapa nyumbani. Tuwe na heshima.
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18

Mpira haupo hivyo. Kwa Sasa mpira ni uwanjani sio mdomoni. TP mazembe inayoonekana kuchoka imempiga Mamelodi Sundowns.
 
Back
Top Bottom