Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Kutoka kuingia fainali za cafcl mpaka kutamani kundi la Simba. Simba kwa Sasa ipo kiwango Cha Chini ndio maana unaongea hivyo. Simba iliwahi kumaliza group stage ikiwa ya kwanza ikiongoza dhidi ya Al Alhly na hata kumfunga hapa nyumbani. Tuwe na heshima.
Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Au ulikuwa ujazaliwa?
 
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Kwani mpaka sasa kimemshinda nini yanga kumchapa mwarabu kwani wana nini kipya cha ajabu mbona yanga inakikosi kizuri kimempiga hadi simba 5 basi kama mmeshindwa kulamba point kadhaa sasa una uhakika gani kwamba yanga wangewekwa kwenye kundi la simba wangetoboa? Mpira hauhitaji nani mchawi mpira unahitaji juhudi na mapambano ya kweli hapa tz tushazoea lawama japo sio mfuatiliaji sana wa mpira
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Acha kutafuta huruma hapa upewe kundi la simba gani ,,mpira wa makundi ni mahesabu sio kukimbia kimbia tu kama majinga,,hapa akina marumo hawamo,pambana na kindi lako😜😜
 
Muongoze kundi gani nyie vibwengo [emoji196]? Cr belouzidad amewakanda na yeye akakandwa na yule mliyetegemea ni mchekeo ... Jana mshukuru ile kafara mliyoifanya kwa kisingizio cha dua zimewasaidia sana .
Mbeba hirizi aliingiwa na mteru.
 
Simba ikiwa bora iliongoza kundi mbele ya aly ahly ,,na utopwinyo gongo waz naona mmeweza kuongoza kundi mbele ya aly ahly
 
Attachments

  • 20231202_231430.jpg
    20231202_231430.jpg
    20.1 KB · Views: 2
Kulaaaaninaa😂😂😂 watu washaamza kutamani kundi letu tena? Me nilijua tu yani mijitu iliambiwa ivae msuli bila boxer na kweli ikavaa msuli mkavu sasa hapo pana nini si ushoger huo
 
Acha kutafuta huruma hapa upewe kundi la simba gani ,,mpira wa makundi ni mahesabu sio kukimbia kimbia tu kama majinga,,hapa akina marumo hawamo,pambana na kindi lako[emoji12][emoji12]
Nyie ambao hamkimbii kimbii, tokea msimu huu umeanza, ni mechi ipi ambayo mmeshinda?
 
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Wewe shinda gem zako ,,acha kutafuta huruma huku si mlisema nyie ni bora mnakikosi ,, sa hz kina walamba mnakimbilia makundi ya wengne😜
 
Back
Top Bottom