Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Tuna point 2 kwa michezo miwili na nyie mna point 1 kwa michezo miwili usichoelewa nini hapo? Kubalini tu kuwa haya mashindano yako juu ya uwezo wenu.
Sasa tofauti ya point moja ndio mnaona mpo vizuri halafu kundi lako lina timu zenyewe unazosumbuana nazo ni za chini kwenye rank ya CAF
 
Akuna aliyekimbilia makundi ya wengine tunaweka statement sawa msiwe mnalinganisha vitu kijinga, Kila mtu apambane na kundi lake ukitaka kulinganisha utakuwa unajivua nguo labda Kama mpira umeujulia ukubwani!
Hakuna statement sawa ,,aliyeanzsha uzi huu ni utopolo analilia kwamba kundi la simba ni jepesi,,ndo sasa kila mtu ashnde gem zake sio mkimbilie makundi ya wengne kusem ni mepesi pambana kivyako
 
Hee Kumbe tupo ndani ya Tanzania sio kimataifa tena. Hongera kwa kubeba ngao jamii. Nipo kijijini huku sijafatilia ligi kuu kwa muda mrefu sana hivi nani anayeongoza ligi ya NBC kwasasa? Na matokeo ya derby ilikuaje kuaje?
Kuvuta mkia, ndio mashindano yalivyo, kuna game nne zimebakia ambazo ni sawa na point 12. Kwenye kundi la Yanga kuna Al Ahly ambaye ni wa kwanza na Belouizdad ambaye ni wa nane kwenye rank. Lakini wewe tokea msimu uanze vitimu vilivyochini wakina Power Dynamo, Asec na Galaxy umeshindwa kushinda game hata moja.
Mzee mbona gazeti sana ,,kwan wew kwenye makundi umeshnda na unaongoza kundi au sio
 
Wapi wew msim uliopita mlkuwa mnazifunga tim dhaifu huko kwa shirikisho mlkuwa mnajisifu sana,,sahz mnakipata ndo akili znawaijia
Hizo timu dhaifu za huko shirikisho wewe ulishindwa nini kizifunga ili uchukue kombe kama ni timu dhaifu?
 
Sasa tofauti ya point moja ndio mnaona mpo vizuri halafu kundi lako lina timu zenyewe unazosumbuana nazo ni za chini kwenye rank ya CAF
kama unaona tofauti ya point moja ni ndogo na wew kuwa na hzo point,,,msm uliopita mlkuw mnacheza na tim dhaifu mkiambiwa mnaleta midomo ,,sahz ndo mnajifanya kujua kwamba kuna tim za rank ya chini tulia dawa iwaingie
 
Hee Kumbe tupo ndani ya Tanzania sio kimataifa tena. Hongera kwa kubeba ngao jamii. Nipo kijijini huku sijafatilia ligi kuu kwa muda mrefu sana hivi nani anayeongoza ligi ya NBC kwasasa? Na matokeo ya derby ilikuaje kuaje?
Kuvuta mkia, ndio mashindano yalivyo, kuna game nne zimebakia ambazo ni sawa na point 12. Kwenye kundi la Yanga kuna Al Ahly ambaye ni wa kwanza na Belouizdad ambaye ni wa nane kwenye rank. Lakini wewe tokea msimu uanze vitimu vilivyochini wakina Power Dynamo, Asec na Galaxy umeshindwa kushinda game hata moja.
Belzoudad ni ya 3 kiubora Africa

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Mkikosa cha kufanya huwa mnaanza kujilinganisha na Simba 😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Mlisema Yanga inashinda nje ndani hao Belozuidad mnaenda kuwafunga mkala 3-0. Mkaanza kumtambia Simba mnaenda kuifunga Al Ahly mkatoka 1-1. Leo hii mnatamani kundi la Simba😁😁😁😁😁😁
Msimu ujao mkacheze shirikisho ndiyo level yenu
 
Belzoudad ni ya 3 kiubora Africa

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
😁😁😁😁😁😁😁😁
Mlipoifunga Simba goli 5 mkachapisha na mabango.
Ushindi wenu mnataka kuupata kwa Simba tu?
Mkikutana na wababe mnaanza kutoa sababu zisizo za msingi. Mkacheze shirikisho ndiyo level yenu😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Povu jiiingi still hiyo level isiyo yako ilikutoa jasho hadi ukawanga mchana South Africa kwa kuwasha moto uwanjani 🤗
 
Simba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poi
Wakati wa COVID-19 ilikuwa rahisi Simba kuongoza kundi mbele ya Al Ahly.
 
Mleta uzi ni kutoka Msimbazi, sijui kawaza nini aisee. Naona wana msimbazi wanampopoa hapa
 
Yanga mnaweweseka. Mlikuwa na expectations za hovyo. Hii siyo shirikisho.

Sasa mmeanza kuona ugumu mnaanza kutafuta pa kujifichia. Ili uwe bora yakubidi upambane na waliobora na uwashinde.

Tulieni dawa iwaingie.
Wangepewa group la mwkaa juzi wangeishia kwny gazeti hata kuingia uwanjani wasingeweza...
Hyo hyo alhly waliibezaaaa....kwa sasa wanakuja na hoja za hovyo...
 
Povu jiiingi still hiyo level isiyo yako ilikutoa jasho hadi ukawanga mchana South Africa kwa kuwasha moto uwanjani 🤗
Level yenu ni kucheza shirikisho na lazima uzungumzie shirikisho kwasababu tofauti na hapo hauna cha kumtambia Mwakarobo

Kukusaidia ili uwe na furaha

1. Kajipige picha kwenye bango la Yanga linaonesha Yanga 5 - Simba 1
2. Ongelea medali za shirikisho na mlivyoifunga USM Alger 1-0.
😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
Bado Al Ahly anawasubiri nyumbani. Mtavunja rekodi ya Simba?
 
Back
Top Bottom