Hee Kumbe tupo ndani ya Tanzania sio kimataifa tena. Hongera kwa kubeba ngao jamii. Nipo kijijini huku sijafatilia ligi kuu kwa muda mrefu sana hivi nani anayeongoza ligi ya NBC kwasasa? Na matokeo ya derby ilikuaje kuaje?
Kuvuta mkia, ndio mashindano yalivyo, kuna game nne zimebakia ambazo ni sawa na point 12. Kwenye kundi la Yanga kuna Al Ahly ambaye ni wa kwanza na Belouizdad ambaye ni wa nane kwenye rank. Lakini wewe tokea msimu uanze vitimu vilivyochini wakina Power Dynamo, Asec na Galaxy umeshindwa kushinda game hata moja.