Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Wewe shinda gem zako ,,acha kutafuta huruma huku si mlisema nyie ni bora mnakikosi ,, sa hz kina walamba mnakimbilia makundi ya wengne😜
Akuna aliyekimbilia makundi ya wengine tunaweka statement sawa msiwe mnalinganisha vitu kijinga, Kila mtu apambane na kundi lake ukitaka kulinganisha utakuwa unajivua nguo labda Kama mpira umeujulia ukubwani!
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Mmehamisha magoli tena.

Vipi kama Yanga angekuwa nafasi ya Simba Africa Football League kisha akutane na AL AHLY angefika fainali na Sundown

Acheni ujinga
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Think twice bro unafikiri kwa nini Wydad hana point hata moja ndiyo anashikilia mkia?
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Tuache kuzecha mpira wa mdomoni
 
Ngao ya jamii tumeshinda wew kule kweny kundi unavuta mkia[emoji13][emoji13]
Hee Kumbe tupo ndani ya Tanzania sio kimataifa tena. Hongera kwa kubeba ngao jamii. Nipo kijijini huku sijafatilia ligi kuu kwa muda mrefu sana hivi nani anayeongoza ligi ya NBC kwasasa? Na matokeo ya derby ilikuaje kuaje?
Kuvuta mkia, ndio mashindano yalivyo, kuna game nne zimebakia ambazo ni sawa na point 12. Kwenye kundi la Yanga kuna Al Ahly ambaye ni wa kwanza na Belouizdad ambaye ni wa nane kwenye rank. Lakini wewe tokea msimu uanze vitimu vilivyochini wakina Power Dynamo, Asec na Galaxy umeshindwa kushinda game hata moja.
 
Siamini kama mtani uliyekua unatamba una kikosi kuzuri umekata tamaa mapema.
Bado sijakata tamaa. Ila ninaamini katika matokeo 3 ya mpira wa miguu. Unaweza ukawa na kikosi kizuri, na bado mkafanya vibaya.

Na mfano mzuri ni Azam Fc! Ilitolewa kwenye kombe la shirikisho na timu ya kawaida kabisa, huku ikiwa na kikosi kilichokamilika kwenye kila idara.
 
Azam hamna timu, hata kwenye ligi tunaiona
 
Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Goli la cannavaro unalikumbuka wewe?
Tuzungumzie ya sasa hivi. Mlisema Al Ahly imekuwa unga ndiyo maana ilitoka sare na Simba baada nyie kutoka nao sare ghafla imekuwa ngumu akili za wapi hizi? Kinachowatesa nyie ni tambo zenu za kishamba mambo yakiwafika mnatafuta chaka la kujificha.
 
Lazima tuseme maana mmekosa Cha kuongea na kumbukumbu mmepoteza, mmebaki kung'ang'ania hoja ya kumfunga Aly ahly kana kwamba nyie ndio mmemfunga tokea Dunia imeumbwa, inakuwaje iyo!
 
Wala hakuna tatizo. Kwanza sisi Yanga kwa msimu huu malengo yetu makuu yalikuwa ni kufika hatua ya makundi.

Hivyo tukiishia hatua hii, poa tu. Tutajipanga vizuri msimu ujao.
Wacheni kupiga mayowe
 
Mnajadili kitu Gani kuongoza kundi Ama kumpasua Aly ahly?
Wacha uzoba mkuu mechi ilichezwa jana hayo miaka 20 iliyopita hayawaongezei point,mna kapointi kamoja mlikobahatisha jana. Angalieni mechi inayokuja hizi historia zinawachelewesha
 
Lazima tuseme maana mmekosa Cha kuongea na kumbukumbu mmepoteza, mmebaki kung'ang'ania hoja ya kumfunga Aly ahly kana kwamba nyie ndio mmemfunga tokea Dunia imeumbwa, inakuwaje iyo!
Jana mlimfunga Al Ahly?
 
Back
Top Bottom