Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Wewe shabikia dhumna tuKwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
he saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tacticalYanga mnaweweseka. Mlikuwa na expectations za hovyo. Hii siyo shirikisho.
Sasa mmeanza kuona ugumu mnaanza kutafuta pa kujifichia. Ili uwe bora yakubidi upambane na waliobora na uwashinde.
Tulieni dawa iwaingie.
Simba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poiKwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
football has changeSimba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poi
Nathemaje...Bado hamjathema...yaani hadi mtheme..kulaanina.Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaaYanga mnaweweseka. Mlikuwa na expectations za hovyo. Hii siyo shirikisho.
Sasa mmeanza kuona ugumu mnaanza kutafuta pa kujifichia. Ili uwe bora yakubidi upambane na waliobora na uwashinde.
Tulieni dawa iwaingie.
Simba Ana point 2 kwenye KUNDI la aina Gani? Ukiwa unalinganisha pia uweke na data vizuri usisahauSimba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poi
Simba Ana point 2 kwenye KUNDI la aina Gani? Ukiwa unalinganisha pia uweke na data vizuri usisahau
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Msitafute huruma,pambaneni na kundi lenu, kila mkianza kuona pagumu kwanini muanze kutafuta huruma?kama kundi ngumu basi jitoeni mapema siyo kutafuta visingiziohe saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tactical
he saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tactical
Mnatafuta kundi la kuhamia ?Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi
Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Wanatafuta kundi la kuhamiaYanga mnaweweseka. Mlikuwa na expectations za hovyo. Hii siyo shirikisho.
Sasa mmeanza kuona ugumu mnaanza kutafuta pa kujifichia. Ili uwe bora yakubidi upambane na waliobora na uwashinde.
Tulieni dawa iwaingie.
Kwani yanga ajawai kumpasua uyo Aly ahly? Goli la cannavaro unalikumbuka wewe?Kwa hivyo unatamani kundi la Simba?. . Ila kumbuka Simba alimpiga huyo Al Alhly hapo kwa Mkapa na kumaliza kundi wa kwanza. Yanga alitakiwa kufuta nyayo ya Simba iliyochoka.