Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Yanga ilikuwa inashiriki club bingwa?
Kama ingekuwa club bingwa ni lazima ingepangwa Kundi moja ni Al Ahly?
Kumbuka mwaka huo Tanzania ilioewa nafasi moja tu ya champions league.
Sasa kilichowashinda hiyo nafas 1 ya CL kuwepo Yanga ni nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna unachekesha hiviii. Lol
 
Sasa kilichowashinda hiyo nafas 1 ya CL kuwepo Yanga ni nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna unachekesha hiviii. Lol
Naona bado unakomaa na historia za kabla ya yesu

Aahaaaaa
 
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Sio kweli...acha kudanganya
 
Tambo ni jambo la kawaida kwenye michezo

Kikubwa Yanga apambane hizi mechi nne zilizobaki apate aidha ushindi au uzoefu

CL ata mwaka kesho ipo
Waendelee kusem tu, kuwa Young African itampiga Al Ahly, CR. B na Modeana, ila wasije kulalama baada ya kupigwa na kusema kundi lao gumu.
 
he saying the truth. yanga group ni gumu sana. very tactical
Simba ameshawahi kupangwa group moja na Al Ahly ikiwa on fire mara mbili hivi karibuni na Al Ahly mechi zote mbili alifungwa hapa Tanzania.

Kundi lilijumuisha AS Vita Club ya moto ya kina Mayele na Simba alitoboa kwa kuwafunga wote ardhi ya nyumbani.
 
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Miaka 25 Yanga haikukanyaga group stage ya CAFCL ina maana miaka yote hiyo hatua za awali alikuwa anapangiwa waarabu watupu?

Hapo ndipo Yanga aone ugumu anaopitia Simba kufika robo fainali CL mfululizo.
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Tunayaheshimu sana mawazo yako.
 
Mfa maji kweli hahshi....

Utooo huku ni ukubwani sio mpira wa Manungu
 
Hata Simba angepangwa Lile kundi la yanga kwenye kolbe la shirikisho angelichukua mazima sio kufika fainali pekee!

Tuliwaambia mkabisha kuwa mwingine unaweza kuwa na kikosi Bora ila ukapangwa kundi gumu. Msimu huu yanga ana kikosi Bora ila Lile kundi ni gumu. Ndicho amekuwa akikutana nacho Simba!

Yanga msimu ulioisha alikuwa na Bahati na team za kawaida!

Na msimu huu Kwa Lile group lenu lilivyo siwaoni mkifika robo fainali.
 
Simba kwenye ubora wake aliongoza group likiwa na al ahly na walimpiga taifa ila yanga imara ina point moja na inaburuza mkia simba ina poi
Kipindi cha corona kile nchi pekee ligi yake aikusimama ilikua TZ huku bado janja janja ya kupuliza sumu vyumbani aijagundulika 😃,mzee 🖐 sasa hivi timu zimejipanga
 
Hata Simba angepangwa Lile kundi la yanga kwenye kolbe la shirikisho angelichukua mazima sio kufika fainali pekee!

Tuliwaambia mkabisha kuwa mwingine unaweza kuwa na kikosi Bora ila ukapangwa kundi gumu. Msimu huu yanga ana kikosi Bora ila Lile kundi ni gumu. Ndicho amekuwa akikutana nacho Simba!

Yanga msimu ulioisha alikuwa na Bahati na team za kawaida!

Na msimu huu Kwa Lile group lenu lilivyo siwaoni mkifika robo fainali.
Mazembe shirikisho alipigwa na Yanga nje ndani,ebu tupe takwimu zake kwenye klabu bingwa msimu huu 😃🖐
 
Back
Top Bottom