Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Sasa kilichowashinda hiyo nafas 1 ya CL kuwepo Yanga ni nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbna unachekesha hiviii. Lol
Let say ingekuwa #1 una uhakika gani ingepangwa na Al Ahly?
 
Kipindi cha corona kile nchi pekee ligi yake aikusimama ilikua TZ huku bado janja janja ya kupuliza sumu vyumbani aijagundulika [emoji2],mzee [emoji870] sasa hivi timu zimejipanga
Wakati huo mlienda kushiriki UEFA champions league maana mlikuwa daraja la juu sasa kwa nini yanga msingetumia fursa hyo kuchukua Caf champions league mliishia wapi?
 
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua


Thread Ya Hovyo Ya Kufunga Mwaka
 
Ata yanga ni bingwa wa tanzania.na ndo maana mashindano yanaitwa ligi ya mabingwa.Mabingwa ndio wanaopambana tofauti na hapo ni kiwewe kinawasumbua.
 
Kwenye group la Yanga, naamini timu moja itacheza fainali. Maana siyo kwa mpira ule wa jana.
Sasa itasaidia nini ikiwa sio Yanga? Maana Al Ahly miaka yote anacheza fainali wala sio ajabu kwake kufanya hivyo au wenzetu Yanga ndio mmejua jana ubora wa Al Ahly?
 
Mmehama kutoka kwenye msuli bila kuvaa nguo ya ndani sasa mmehamia kundi la Simba wakati kundi lenu la Whatsaup lipo na nawaona hapo mkiani?
 
Ata yanga ni bingwa wa tanzania.na ndo maana mashindano yanaitwa ligi ya mabingwa.Mabingwa ndio wanaopambana tofauti na hapo ni kiwewe kinawasumbua.
Kundi la mikia mabingwa wa nchi zao ni jwaneng na asec,waliobakia viti maalum,kundi la Yanga ndilo kundi lililokutanisha timu zote 4 ni mabingwa wa nchi zao
 
Kama ni kundi gumu,kwa nini mliwavalia msuli Al Ahly tena bila nguo za ndani!Mlikuwa mnataka mfunuliwe kirahisi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…