Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Yanga angepangwa kundi la Simba angekuwa anaongoza na angemaliza kundi na pointi 18

Kipindi cha corona kile nchi pekee ligi yake aikusimama ilikua TZ huku bado janja janja ya kupuliza sumu vyumbani aijagundulika [emoji2],mzee [emoji870] sasa hivi timu zimejipanga
Wakati huo mlienda kushiriki UEFA champions league maana mlikuwa daraja la juu sasa kwa nini yanga msingetumia fursa hyo kuchukua Caf champions league mliishia wapi?
 
Mbaazi Ukikosa Maua Husingizia Jua


Thread Ya Hovyo Ya Kufunga Mwaka
 
Mwandishi Yuko right sema wewe ndio ujamuelewa unasukumwa na mahaba niue, KUNDI mmepewa mchekea la wakina jwaneng, mwarabu mliyepewa ndio Ivyo anapewa vichapo tu na ni mmoja, yanga Anao mabingwa wa Algeria na mabingwa wa Misri na afrika, wanao mabingwa wa Ghana ivyo wako kwenye KUNDI la kifo tofauti na Simba ambao KUNDI lao ni lakini sana lakini kwakuwa Simba yenyewe imeshakuwa mzoga inaweza Kuona KUNDI lake ni GUMU but yanga ingewaburuza wote hao na kuiongoza KUNDI mapema sanaaa
Ata yanga ni bingwa wa tanzania.na ndo maana mashindano yanaitwa ligi ya mabingwa.Mabingwa ndio wanaopambana tofauti na hapo ni kiwewe kinawasumbua.
 
Kwenye group la Yanga, naamini timu moja itacheza fainali. Maana siyo kwa mpira ule wa jana.
Sasa itasaidia nini ikiwa sio Yanga? Maana Al Ahly miaka yote anacheza fainali wala sio ajabu kwake kufanya hivyo au wenzetu Yanga ndio mmejua jana ubora wa Al Ahly?
 
Mmehama kutoka kwenye msuli bila kuvaa nguo ya ndani sasa mmehamia kundi la Simba wakati kundi lenu la Whatsaup lipo na nawaona hapo mkiani?
 
Ata yanga ni bingwa wa tanzania.na ndo maana mashindano yanaitwa ligi ya mabingwa.Mabingwa ndio wanaopambana tofauti na hapo ni kiwewe kinawasumbua.
Kundi la mikia mabingwa wa nchi zao ni jwaneng na asec,waliobakia viti maalum,kundi la Yanga ndilo kundi lililokutanisha timu zote 4 ni mabingwa wa nchi zao
 
Kwa mechi niliyoiona jana ya Simba dhidi ya Galaxy, na Galaxy ndio anaongoza kundi
Nikacheki tena ile ya Simba dhidi ya Asec, na Asec na Galaxy ndio "wababe" wa kundi

Hakika Yanga angepangwa kundi hili hadi sasa angekuwa na pointi 6 na angemaliza na pointi 18
Kama ni kundi gumu,kwa nini mliwavalia msuli Al Ahly tena bila nguo za ndani!Mlikuwa mnataka mfunuliwe kirahisi?
 
Back
Top Bottom