Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
hao Pyramid timu mbovu hawana uwezo hata wakutoa sare na Yanga, Yanga anashinda mechi zote nyumbani na ugenini
Brother unayo Imani kubwa sana, unaweza kufungua hata kanisaPyramid timu mbovu waarabu koko hawana uwezo hata wa kutoa sare na Yanga. Yanga hawawezi kufungwa na timu ya daraja la 2
Hivi jangwani pakoje sasa hivi mwenye picha jaman tafadhali naiomba
Nyie mwaka jana mlivyokuwa mnashangilia simba kutolewa na tp mazembe ilikuwa inawasaidia niniIkiishia hapo inawasaidia nini nyie mikia?
Maumivu yakizidi meza UD Songo Kanuni MojaNyie mwaka jana mlivyokuwa mnashangilia simba kutolewa na tp mazembe ilikuwa inawasaidia nini
Tumeaga rasmi nakubali....hyo timu haijawahi nichana ni jeshi la anga,majini na ardhini...hao ni zaid ya SWAT
Kawa ww utakavyo kua unameza ya PyramidsMaumivu yakizidi meza UD Songo Kanuni Moja
Hahahahahahahahah ni.swala la muda tu dawa kuwaingia.Maumivu yakizidi meza UD Songo Kanuni Moja
Kama mbumbumbu na UD Songo..ama?maskinii!!!!! yanga kwisha habari yake
Hao tunawapiga nje ndani kocha wao wa timu ya Uganda AFCONHii team kwa yanga ameonewa