Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Yanga apangwa na Pyramid ya Egypt kwenye CAF Confederation

Hivi jangwani pakoje sasa hivi mwenye picha jaman tafadhali naiomba
 
Pyramid timu mbovu waarabu koko hawana uwezo hata wa kutoa sare na Yanga. Yanga hawawezi kufungwa na timu ya daraja la 2
Brother unayo Imani kubwa sana, unaweza kufungua hata kanisa
 
Back
Top Bottom