Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
hahahahaTunasema mtoa mada kayakanyaga...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahaTunasema mtoa mada kayakanyaga...
Ushapata ajira?Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6: simba anamkaribisha horoya na vipers anamkaribisha casablanca game zote zitaisha sare.
1. Raja (16)
2. Vipers(7)
3. Horoya(6)
4. Simba(2)
Day 3: Yanga anamfata real bamako, tp mazembe anamkaribisha monastir ambapo mazembe na yanga watashinda. Day 4: monastir anamkaribisha mazembe na yanga anamkaribisha real bamako ambapo yanga na monastir watashinda, day 5: yanga anamfata mazembe mechi itaisha kwa sare na monastir anamkaribisha real bamako ambapo monastir atashinda, yanga anamkaribisha monastir na tp mazembe anamfata real bamako ambapo yanga na mazembe watashinda
1. Yanga(13)
2. Mazembe(10)
3.Monastir(10)
4. Real bamako(1)
Ndio shida ya jobless....Day 3. Vipers anamkaribisha simba na raja anamkaribisha horoya ambapo wenyeji wote watashinda. Day 4: Simba anamkaribisha vipers game itaisha sare, horoya anamkaribisha raja na mgeni atashinda. Day 5: simba anamfata raja mwenyeji atashinda na vipers anamfata horoya game itaisha sare. Day 6: simba anamkaribisha horoya na vipers anamkaribisha casablanca game zote zitaisha sare.