Yanga atapoteza mechi nyingine tatu za ligi na ata-draw mechi tatu

Ukiona unaota sana ndoto za mchana ujue karibu utakuwa chizi.
 
Ni kujitoa ufahamu tu.
Kuna kila dalili Simba atapoteza mechi karibu tano either kwa draw au kwa kufungwa. dalili zipo na kuna siku yatatokea tu, kuna kila dalili maana ukuta unavuja sana karibu kila mechi anafungwa na kinachosaidia ni juhudi tu za mchezaji mmojammoja ambaye anasawazisha au kufunga goli la kitatanishi.

There's every sign that this team is weak asf na kuna sku tu huu mchezo wao wa kurudi kinyumenyume watakalia hogo.
 
Tunashukuru sheikh yahaya
 
Sawa mtabiri wewe endelea kutabiri
Utakula mpira maana umeufanya ndo maisha yako
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
kolo fc watapoteza 6na droo 8,piga mahesabu bngwa nani...
 
Usisahau juhudi za marefa
 
Sawa
 
Mleta mada aje atupe mrejesho
 
Naam atapigwa nje ndani kenge wa kijani hawa
 
1. Kuna mtu alitoa utabiri mechi ya IHEFU vs YANGA, mwanzoni alianza kwa kutukanwa ila mwishoni watu wakampa maua yake. Inaonyesha wengi humu ni Matomaso au wenye ujuaji wa hovyo siyo?

2.Kisa cha kifo cha JPM kilishasababisha nisiwe nawabishia sana watu,kama nina mashaka bora nikae kimya tu. Kama mtakumbuka, kabla hata ya Uchaguzi Mkuu 2020 kuna watu walishauri ingekuwa vyema JPM asingegombea tena maana hangemaliza mhula wake wa pili. Ila wabishi tukawatukana na kuwazodoa watabiri wale. Mambo yalivyotokea kama ilivyotabiriwa threads zikaanza kufufuliwa. Huwa tunasubiri hadi itokee eeeh?

3.Kitendo cha Simba kukipeleka kijezi chake kileleni mwa Mt.Kilimanjaro ni kiko ki spiritual zaidi. Na tahadhari ilishatolewa.
 
Hatimae makolo wamekuwa watabiri, Bado kidogo utawasikia wakisema GSM ananunua mechi, mara anatembeza bahasha, Aliyewaita mbumbumbu aliona mbali sana.
 
Utaliwa sana kuku na waganga kwa mwendo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…