Yanga atashika mkia kwenye kundi lao, ni kibonde wa kundi

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Sababu
1.mechi mnayoanza away dhidi ya MC Alger lazima ugongwe

2.Ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed Abdelrahman )

3..MC Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya

4...TP Mazembe ndio kabisaaa hamsogelei

Chonde Chonde AL Hilal msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie

YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!

Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
 
Sababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya usm Alger lazima ugongwe na vilainishi

2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )

Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie

YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
nakwambia hawana nafuu safari hii japo watakuja hapa ooo mpira unadunda
 
wewe ni nanga
Sababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya usm Alger lazima ugongwe na vilainishi

2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )

3...usm Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya shirikisho

4...To mazembe ndio kabisaaa hamsogelei kenge nyie

Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie

YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
kweli. USM ALGER mko nae
 
Kama tu timu zenyewe zinazocheza na Yanga huzijui halafu unaacha kukuna nazi unajifanya mchambuzi. Kwenye klabu bingwa hakuna timu ya USM Alger
 
Sababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya mc Alger lazima ugongwe na vilainishi

2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )

3...mc Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya

4...To mazembe ndio kabisaaa hamsogelei kenge nyie

Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie

YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
🚮
 
Yanga hii mnaichukulia poa poa mnailinganisha na timu yenu sio, Akuna ata timu Moja hapo ambayo inatamani kukutana na yanga kwa taarifa yako, Mechi zikianza ndio utafunga mdomo wako, Yanga hii Ina uwezo wa kuchukua point popote pale iwe ugenini ama nyumbani mbele ya hizo timu unazoziabudu, Muda utaongea
 
Nyie vilaza wa umbumbuni ndio tunawataka kwa tabiri zenu hizi, sasa subilieni iyo mikia yenu mtaificha kwa mangungu kama sio kwa kanjibhai wenu, Yanga hii mnaichukulia poa poa mnailinganisha na timu yenu sio, Akuna ata timu Moja hapo ambayo inatamani kukutana na yanga kwa taarifa yako, Mechi zikianza ndio utafunga mdomo wako, Yanga hii Ina uwezo wa kuchukua point popote pale iwe ugenini ama nyumbani mbele ya hizo timu unazoziabudu, Muda utaongea na mtayalamba matapishi yenu kudadadeki!
Mbona Kama unapanick, mmezoea fluk raundi hii hamna
 
Makubaliano ni kwamba CAFCC hakuna kibonde
Mbili USM alger yupo huko Kwa kina mama, sio Kwa wababa
 
Ukweli ni kwamba timu zetu za Tanzana bara zina wakati mgumu kwenye makundi ya mashindano ya kimataifa hakuna mwenye uhakika wa kutoboa robo fainali tukiacha ushabiki pembeni,Simba mwisho wake ni robo yanga bado anajitafuta kuweka historia kiufupi bado mchanga kwenye mashindano haya.

Msirubuniwe na wasemaji wenu waliozoea mambo ya kiswahili kukuza mambo,
 
Mbona Kama unapanick, mmezoea fluk raundi hii hamna
Sawa tuombe uzima, akunaga timu ya kupata fluk Kila michuano mzee, fluk kuanzia kucheza fainali ya kombe la shirikisho, fluk ikaamia klabu bingwa kucheza robo fainali na kuondolewa kwa figisu na mamelod, iyo fluk mlishindwa nini kuipata kwa misimu 5 ambayo mmeishia robo robo?
 
Back
Top Bottom