Yanga atashika mkia kwenye kundi lao, ni kibonde wa kundi

Washamfunga TP Mazembe msimu uliopita walimkimbiza

Hakuna tofauti ni sawa tu na ile waliyocheza mama Aziz, Mama Diara, Mama Mwanyeto na wenzio

Mashindano ya akina mama hamyajadili
Mnataka mjadili CAFCL
Simba ya akina mama
 
Kwaiyo Mpira unachezwa chumbani? Kuna timu Gani hapo kati ya hizo atujaziona zikicheza? Ubora wa hizo timu ukilinganisha na yanga akuna iliyo juu ya yanga kiubora au unataka tusemeje labda?
Lini Yanga mtaacha utoto? Hamna rekodi zozote za kujitutumua hivyo. Unyenyekevu nao ni busara.
 
Technically bila upendeleo wowote sioni yanga akipata point hata 1 katika kundi hilo
Hata mwaka juzi na mwaka jana story zilikuwa hizi hizi.

Hakuna jipya kwenye simulizi yako
 
Pongezi sana mkuu unajua kusaga kunguni mbaya mbovu... Hongera sana Boss
Nashukuru Sana mkuu, endelea kunywa kinywaji pendwa hapo, nikija hapo nitalipia, nipo hapa natafuta goli la tatu la mke wa nyuma MWIKO...anatukana sna na kumkashifu mmeo hajui shughuli Kama mimi
 
Lini Yanga mtaacha utoto? Hamna rekodi zozote za kujitutumua hivyo. Unyenyekevu nao ni busara.
Atuna rekodi ya kujitutumua? Ebu ficha ujinga wako, unataka rekodi zipi? Umecheza shirikisho ilo kombe la wakinamama na uliishia robo fainali kwa kuchoma uwanja wa watu moto but yanga ameenda pale amecheza fainali sio rekodi? Yanga kakusanya alama 25 ndani ya misimu 2, wewe umekusanya alama 39 kwa misimu 6! Bado unabwata eti atuna rekodi?
Yanga ndani ya misimu 2 katoka nafasi ya 75 kwenye rank za caf mpaka nafasi ya 12 bado sio rekodi?
Yanga anayo medali ya mshindi wa pili confederation cup wewe unayo? Misimu yako 5 nyuma umesogea wapi kimafanikio kwenye michuano ya kimataifa? Wenzako wanaonyesha improvement kutoka hatua Moja kwenda mbele je wewe tuambie umesogea wapi? Alafu unakaa umeshiba makande unasema amna rekodi za kujitutumua, kama wewe ni mwanaume nenda kafike hata iyo fainali ya iyo looser cup tuone kama ni rahisi!
 
Sibishani na mtu ambaye hata anachokiongea hakijui wala hajitambui. Unaliita kombe la wakina mama wakati huo huo unajisifu kufika fainali kombe hilo hilo. Unakuwaje bingwa wa kihistoria halafu unakuwa nafasi ya 75?

Mlipoenda Ikulu, pamoja na kunyang'anywa mchezaji wenu, Rais pia aliwazodoa kuwa nyie siyo wa kwanza kufika fainali maana mlikuwa mnajitoa ufahamu. Wenzako hawaongelei tena hilo, wewe bado unajitutumua.

Timu zinazocheza na Simba kwenye hilo kombe la kina mama kama Zamalek, Berkane, Constantine na CS Sfaxien zina rekodi bora kuliko Deportivo de Utopolo.
 
Yaani we jamaa unajitetea usenge TU huna Cha maana unachoongea.....unakashifu na kusema kombe la wamama, hapohapo unaisifia Yanga kucheza fainali kombe hilo Hilo, we mzima kweli??, huna akili Acha umaku kenge ww sawa???...
 
Huu ndio ukweli kivyovyote vile kwenye hili kundi Yanga akijitahidi sana atamaliza na points 5 kwahiyo kivyovyote vile lazima ataburuza mkia kwenye hilo kundi
Naiona Yanga ikiangusha ponts nyumbani dhidi ya Al Hilal na Tp Mazembe na ikipigika mechi zote tatu za away
 
Mwaka jana pia kundi la Yanga ndilo lililokuwa gumu zaidi ya yote kutokana na kuwapo kwa timu za Al Ahry na CR Belouizdad, lakini Yanga walinyumbulika wakapita. Subiri uone tena mwaka huu jinsi Yanga itakavyonyumbulia na kuingia kwenye mbili bora.

Simba ndiyo imepewa kundi jepesi sana huko CONF; timu zote ni za mtaani tu.
 
Yaani we jamaa unajitetea usenge TU huna Cha maana unachoongea.....unakashifu na kusema kombe la wamama, hapohapo unaisifia Yanga kucheza fainali kombe hilo Hilo, we mzima kweli??, huna akili Acha umaku kenge ww sawa???...
Kenge ni mama yako acha upuuzi taahira wewe, unaleta matusi hapa, nani ajui matusi? Kamlaumu mwanachama wenu Kaduguda umuulize kwanini aliyaita mashindano ya wakinamama, Sasa ayo mashindano ya wakinamama tuone kama unao uwezo wa kufika ata iyo fainali, mnajizimaga data mnadhani Kila mtu hapa ni mbumbumbu? Tena ukome kuleta matusi hapa kama ni bangi unavutia chooni kajibizane na wajinga wenzio uko!
 
IMG-20241008-WA0004.jpg
 
Sibishani na mtu ambaye hata anachokiongea hakijui wala hajitambui. Unaliita kombe la wakina mama wakati huo huo unajisifu kufika fainali kombe hilo hilo. Unakuwaje bingwa wa kihistoria halafu unakuwa nafasi ya 75?

Mlipoenda Ikulu, pamoja na kunyang'anywa mchezaji wenu, Rais pia aliwazodoa kuwa nyie siyo wa kwanza kufika fainali maana mlikuwa mnajitoa ufahamu. Wenzako hawaongelei tena hilo, wewe bado unajitutumua.

Timu zinazocheza na Simba kwenye hilo kombe la kina mama kama Zamalek, Berkane, Constantine na CS Sfaxien zina rekodi bora kuliko Deportivo de Utopolo.
Wewe unakijua unachokiongea? Historia au rekodi aiwezi kukufikisha popote, mlichobakiza ni icho wenzenu wanaangalia current performance wewe unaangalia rekodi, kama rekodi zinasaidia zingekusaidia ukacheza klabu bingwa msimu huu! Mbona unacheza shirikisho?
Hizo timu ulizozitaja hapo kuwa Zina rekodi Bora kwanini zipo shirikisho kama Zina ubora kwa sasa? Walishindwa nini kucheza klabu bingwa? Rekodi unazozisema si zingewabeba, kiwango chako kibovu na ubovu wa timu yako ndio umekupeleka shirikisho maana kama zisingekuwepo nafasi 4 za kuwakilisha nchi Simba isingeshiriki michuano yoyote msimu huu kwa nafasi mliyokuwepo kwenye ligi!
Mmepata bonus ya kupelekwa shirikisho bado mnajiona ni timu Bora kwa uwezo Gani labda mlionao?
Robo fainali tu ya iyo shirikisho mlienda kuwanga mchana kweupe kwenye uwanja wa watu ili kufuzu na bado mlitandikwa vile vile uliona wapi yanga anafanya ule ujinga kwenye kombe kama ilo na bado unajiita mkubwa, Rage alimaliza Kila kitu ndio wanachama wake dizaini yako anaowaongoza mangungu!
 
Back
Top Bottom