Yanga atashika mkia kwenye kundi lao, ni kibonde wa kundi

Sababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya mc Alger lazima ugongwe na vilainishi

2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )

3...mc Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya

4...To mazembe ndio kabisaaa hamsogelei kenge nyie

Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie

YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
Coastal katuamushia aliekalala, yani nyie mlitakiwa mumfunge Coastal ili Uonzo wenu muendelee kuamini kuwa unanukia, lkn ile 2-2 Yanga ijiandae kucheza na matunguli yenu yatakayo7bisha kuwapunguzieni magoli badala Chuma 5 iwe Nondo 3.

Mataa ya Koo nyie.
 
Ila kama Yanga wanapendelewa sana,au maombi ya Mchungaji Max🤣🤣maana wamepangwa na Vibonde tena.
 
Wanaweza kupata nafasi ya pili nyuma ya Mazembe kama wakikaza.

Halafu baada ya hapo ni either Raja au Mamelody.
Wote hao uliowataja sio tishio kwa yanga hii, Nafikiri timu ambazo yanga anaweza kuziwazia sana endapo angepangwa nazo ni Ahly ahly na esperance zaidi ya hapo akuna timu ya kumtisha yanga kwa sasa!
 
Unaongea utadhani mpira ni mchezo wa bao au karata. Ulimsikia yule black alipokuwa anamuhoji yule mwarabu baada ya droo alitaja timu gani? Mnadanganyana mnaogopwa kwa kuwa mashabiki wenu ni hohehahe wasiojua hili wala lile.
 
Wanaweza kupata nafasi ya pili nyuma ya Mazembe kama wakikaza.

Halafu baada ya hapo ni either Raja au Mamelody.
Wanaweza hata kuongoza kundi pia Yanga sio wanyonge kihivyo hao yeyote atakaekutana nao watapita ila baada ya hapo ndio Mtihani..
 
Unaongea utadhani mpira ni mchezo wa bao au karata. Ulimsikia yule black alipokuwa anamuhoji yule mwarabu baada ya droo alitaja timu gani? Mnadanganyana mnaogopwa kwa kuwa mashabiki wenu ni hohehahe wasiojua hili wala lile.
Kwaiyo Mpira unachezwa chumbani? Kuna timu Gani hapo kati ya hizo atujaziona zikicheza? Ubora wa hizo timu ukilinganisha na yanga akuna iliyo juu ya yanga kiubora au unataka tusemeje labda?
 
Sababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya mc Alger lazima ugongwe na vilainishi

2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )

3...mc Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya

4...To mazembe ndio kabisaaa hamsogelei kenge nyie

Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie

YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
Unaandika vitu usivyovijua, Yanga hijawahi kikutana na MC Alger,
 
Ukweli usipingika kwenye Makaratasi Yanga tunakuwa Underdog kwenye hili group tunatakiwa tukaze kweli kweli.
 
Pongezi sana mkuu unajua kusaga kunguni mbaya mbovu... Hongera sana Boss
 
Unaongea utadhani mpira ni mchezo wa bao au karata. Ulimsikia yule black alipokuwa anamuhoji yule mwarabu baada ya droo alitaja timu gani? Mnadanganyana mnaogopwa kwa kuwa mashabiki wenu ni hohehahe wasiojua hili wala lile.
Vip kwani Simba hajapqngwa Leo

Au hamtaki kuongelea mashindano ya akina mama
 
Ukweli usipingika kwenye Makaratasi Yanga tunakuwa Underdog kwenye hili group tunatakiwa tukaze kweli kweli.
Washamfunga TP Mazembe msimu uliopita walimkimbiza
Vip Huko
Simba aliko
Kwenye mashindano ya akina mama
Hakuna tofauti ni sawa tu na ile waliyocheza mama Aziz, Mama Diara, Mama Mwanyeto na wenzio
 
Back
Top Bottom