SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
🎵🎵 Hasira za nini we bwana. Wataka kuniua bure eeh bwana 🎶🎵Wewe unakijua unachokiongea? Historia au rekodi aiwezi kukufikisha popote, mlichobakiza ni icho wenzenu wanaangalia current performance wewe unaangalia rekodi, kama rekodi zinasaidia zingekusaidia ukacheza klabu bingwa msimu huu! Mbona unacheza shirikisho?
Hizo timu ulizozitaja hapo kuwa Zina rekodi Bora kwanini zipo shirikisho kama Zina ubora kwa sasa? Walishindwa nini kucheza klabu bingwa? Rekodi unazozisema si zingewabeba, kiwango chako kibovu na ubovu wa timu yako ndio umekupeleka shirikisho maana kama zisingekuwepo nafasi 4 za kuwakilisha nchi Simba isingeshiriki michuano yoyote msimu huu kwa nafasi mliyokuwepo kwenye ligi!
Mmepata bonus ya kupelekwa shirikisho bado mnajiona ni timu Bora kwa uwezo Gani labda mlionao?
Robo fainali tu ya iyo shirikisho mlienda kuwanga mchana kweupe kwenye uwanja wa watu ili kufuzu na bado mlitandikwa vile vile uliona wapi yanga anafanya ule ujinga kwenye kombe kama ilo na bado unajiita mkubwa, Rage alimaliza Kila kitu ndio wanachama wake dizaini yako anaowaongoza mangungu!
Povu lote hilo kisa unadhani mpira ni kama mchezo wa draft