Yanga atashika mkia kwenye kundi lao, ni kibonde wa kundi

Mpaka sasa anaongoza kundi
 
Attachments

  • edb6677a6f694b2a8ddcad357e1926e8.jpg
    edb6677a6f694b2a8ddcad357e1926e8.jpg
    30 KB · Views: 5
Yanga kapakatwa

Yanga kainamishwa

Yanga kagongwa kote kote mbele na nyuma

Haahaahaah
Wewe? Maneno gani gami unangea?Tuambie naye kolo kapatwa na jua au mwezi,ama kaingia juani au gizani?
 
Uzuri mmekiri mapema kundi la Yanga gumu ili atakapoanza kutembeza mkong'oto kelele za anacheza na vibonde zisiwepo.
Hutakuja zisikia we endelea kutembeza tu mkong'oto
 
Yanga hii mnaichukulia poa poa mnailinganisha na timu yenu sio, Akuna ata timu Moja hapo ambayo inatamani kukutana na yanga kwa taarifa yako, Mechi zikianza ndio utafunga mdomo wako, Yanga hii Ina uwezo wa kuchukua point popote pale iwe ugenini ama nyumbani mbele ya hizo timu unazoziabudu, Muda utaongea
Muda ndio huu unaongea Al Hilal anachukua points zote 3 Taifa
 
Huu ndio ukweli kivyovyote vile kwenye hili kundi Yanga akijitahidi sana atamaliza na points 5 kwahiyo kivyovyote vile lazima ataburuza mkia kwenye hilo kundi
Naiona Yanga ikiangusha ponts nyumbani dhidi ya Al Hilal na Tp Mazembe na ikipigika mechi zote tatu za away
Ni suala la muda tu utabiri utatimia
 
Yanga hii mnaichukulia poa poa mnailinganisha na timu yenu sio, Akuna ata timu Moja hapo ambayo inatamani kukutana na yanga kwa taarifa yako, Mechi zikianza ndio utafunga mdomo wako, Yanga hii Ina uwezo wa kuchukua point popote pale iwe ugenini ama nyumbani mbele ya hizo timu unazoziabudu, Muda utaongea
Mweee..kamdomo kamdomo
 
Sababu
1.mechi mnayoanza away dhidi ya MC Alger lazima ugongwe

2.Ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed Abdelrahman )

3..MC Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya

4...TP Mazembe ndio kabisaaa hamsogelei

Chonde Chonde AL Hilal msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie

YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!

Soma Pia: CAFCL & CAFCC Group Stage Draw 2024
Daah!!! Yametimia
 
Yanga hii mnaichukulia poa poa mnailinganisha na timu yenu sio, Akuna ata timu Moja hapo ambayo inatamani kukutana na yanga kwa taarifa yako, Mechi zikianza ndio utafunga mdomo wako, Yanga hii Ina uwezo wa kuchukua point popote pale iwe ugenini ama nyumbani mbele ya hizo timu unazoziabudu, Muda utaongea
Aibu naona mimi
 
Back
Top Bottom