Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
nakwambia hawana nafuu safari hii japo watakuja hapa ooo mpira unadundaSababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya usm Alger lazima ugongwe na vilainishi
2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )
Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie
YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
Ata kwenye KUNDI la vilaza Kuna kilaza zaidiHili Kandi wamekutana vilaza wote..
Ni moja ya kundi ambalo halina mvuto.
kweli. USM ALGER mko naeSababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya usm Alger lazima ugongwe na vilainishi
2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )
3...usm Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya shirikisho
4...To mazembe ndio kabisaaa hamsogelei kenge nyie
Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie
YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
Uchawi huuTechnically bila upendeleo wowote sioni yanga akipata point hata 1 katika kundi hilo
Kama tu timu zenyewe zinazocheza na Yanga huzijui halafu unaacha kukuna nazi unajifanya mchambuzi. Kwenye klabu bingwa hakuna timu ya USM AlgerSababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya usm Alger lazima ugongwe na vilainishi
2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )
3...usm Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya shirikisho
4...To mazembe ndio kabisaaa hamsogelei kenge nyie
Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie
YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
🚮Sababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya mc Alger lazima ugongwe na vilainishi
2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )
3...mc Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya

Yanga hii mnaichukulia poa poa mnailinganisha na timu yenu sio, Akuna ata timu Moja hapo ambayo inatamani kukutana na yanga kwa taarifa yako, Mechi zikianza ndio utafunga mdomo wako, Yanga hii Ina uwezo wa kuchukua point popote pale iwe ugenini ama nyumbani mbele ya hizo timu unazoziabudu, Muda utaongeaSababu
1...mechi mnayoanza away dhidi ya mc Alger lazima ugongwe na vilainishi
2....ibenge ni kiboko yenu Toka enzi za nabi, lazima awagonge (mnamkumbuka mwamba Mohamed abdelrahman )
3...mc Alger Sina haja ya kuwaongelea, mnawajua walichowafanya
4...To mazembe ndio kabisaaa hamsogelei kenge nyie
Chonde Chonde al hill msikubali kucheza mechi za home hapa Tanzania ili huu Uzi utimie na mahesabu yatimie
YANGA ATASHIKA MKIA hakika!!
Mbona Kama unapanick, mmezoea fluk raundi hii hamnaNyie vilaza wa umbumbuni ndio tunawataka kwa tabiri zenu hizi, sasa subilieni iyo mikia yenu mtaificha kwa mangungu kama sio kwa kanjibhai wenu, Yanga hii mnaichukulia poa poa mnailinganisha na timu yenu sio, Akuna ata timu Moja hapo ambayo inatamani kukutana na yanga kwa taarifa yako, Mechi zikianza ndio utafunga mdomo wako, Yanga hii Ina uwezo wa kuchukua point popote pale iwe ugenini ama nyumbani mbele ya hizo timu unazoziabudu, Muda utaongea na mtayalamba matapishi yenu kudadadeki!
Sawa tuombe uzima, akunaga timu ya kupata fluk Kila michuano mzee, fluk kuanzia kucheza fainali ya kombe la shirikisho, fluk ikaamia klabu bingwa kucheza robo fainali na kuondolewa kwa figisu na mamelod, iyo fluk mlishindwa nini kuipata kwa misimu 5 ambayo mmeishia robo robo?Mbona Kama unapanick, mmezoea fluk raundi hii hamna