Yanga atashika mkia kwenye kundi lao, ni kibonde wa kundi

Mpaka sasa anaongoza kundi
 

Attachments

  • edb6677a6f694b2a8ddcad357e1926e8.jpg
    30 KB · Views: 5
Yanga kapakatwa

Yanga kainamishwa

Yanga kagongwa kote kote mbele na nyuma

Haahaahaah
Wewe? Maneno gani gami unangea?Tuambie naye kolo kapatwa na jua au mwezi,ama kaingia juani au gizani?
 
Uzuri mmekiri mapema kundi la Yanga gumu ili atakapoanza kutembeza mkong'oto kelele za anacheza na vibonde zisiwepo.
Hutakuja zisikia we endelea kutembeza tu mkong'oto
 
Muda ndio huu unaongea Al Hilal anachukua points zote 3 Taifa
 
Muda ndio huu unaongea Al Hilal anachukua points zote 3 Taifa
 
Ni suala la muda tu utabiri utatimia
 
Mweee..kamdomo kamdomo
 
Daah!!! Yametimia
 
Aibu naona mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…