Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

🚮🚮
 
It is too early to blame them as it was a day one, Augsburg is not a week team, ( playing bundles league), remember this is preseason, hope you understand what is preseason
ukiona it's too early amna mchezaji hapo
 
Unaucenge mwingi sana,unailaumu Yanga utazani imecheza na Manyema FC,kumbe ni timu inayo cheza Bundasliga.Kuanzia quality ya mchezaji mmoja mmoja,thamani ya wachezaji wao,resources walizo kuwa nazo ni tofauti kabisa na sisi.

Ninakuambia kila siku wewe mpira hujui, kacheze marede yaani haya mabonanza ya Pre-season mishipa inakutoka.
 
Hii ni preseason muwe mnajiongeza kuficha ujinga mda mwingine, kocha anaandaa kikosi kwa akili ya michuano ijayo ivyo lazima wachezaji wote wacheze, hii sio mechi ya kusaka ushindi ilikuwa ni mechi ya kuangalia timu kiufundi zaidi na mapungufu, Kama wangeshinda ingekuwa bonus angalia na timu waliyocheza nayo
 
Kiingereza kinakukimbia sana.
 
Mzize ndani anacheza kwa morali,akikaribia goli,hawezi kabisa kufunga,yaani kwakweli asiwe anawekwa kwenye mechi muhimu,anakera sana.
 
Huyu mtu anayeongoza kwa ukilaza humu jukwaani kwa kujifanya anajua kumbe bogus tu. Ukiangalia nyuzi nyingi kuiongelea vibaya Yanga, na wachezaji wake na mwisho wake anaumbuka. Kaangaika na Gamondi weee mpaka kamziba mdomo.
 
Mzize ndani anacheza kwa morali,akikaribia goli,hawezi kabisa kufunga,yaani kwakweli asiwe anawekwa kwenye mechi muhimu,anakera sana.
Mzize anauzi sana uwanjani, mechi nyingi sana kai cost Yanga. Mechi dhidi ya Azam kapata nafasi za wazi kibao kakosa hadi Yanga akapoteza mechi. Mechi na Mamelodi ndio kabisa, leo kapata nafasi amezipoteza. Nguvu nyingi, akili za maamuzi 0
 
nina mashaka kama chama atapata namba mara nyingi yanga, na dube pia. baleke anafaa kwasababu ni msumbufu anamkeep adui busy ili wengine wafanye mambo. chama anatakiwa apambane sana ili atunze namba Yanga,ama la asifikiri yanga ni simba. atawekwa bench.
 
Mzize bado sana. Kuna mpira akiwa kwenye box alitakiwa kupiga shuti badala yake anaendelea kupiga chenga mabeki , sasa sijui alitaka kupiga chenga hadi milingoto ya goli. Afundishwe kufunga sababu kuji position keshajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…