Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
hata hivyo kwa signing iliyopo, kama kocha atawapa maelekezo vizuri, na wakataka kutumia nafasi vizuri, itakuwa nzuri sana. mfano, goli la pili yanga leo halikutakiwa kufungwa kama mabeki wawili nyuma ya mfungaji wangeenda kumkaba. watu wawili wapo nyuma wanatembea kama hawana miguu.Mzize bado sana. Kuna mpira akiwa kwenye box alitakiwa kupiga shuti badala yake anaendelea kupiga chenga mabeki , sasa sijui alitaka kupiga chenga hadi milingoto ya goli. Afundishwe kufunga sababu kuji position keshajua