Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

Hii ni preseason muwe mnajiongeza kuficha ujinga mda mwingine, kocha anaandaa kikosi kwa akili ya michuano ijayo ivyo lazima wachezaji wote wacheze, hii sio mechi ya kusaka ushindi ilikuwa ni mechi ya kuangalia timu kiufundi zaidi na mapungufu, Kama wangeshinda ingekuwa bonus angalia na timu waliyocheza nayo

Kinacho mbeba Mzize ni uraia na umri wake labda, lakini naamini hata kocha anakerwa na madudu yake.
Ila hata mimi kwaupande wangu, kwa wachezaji wa zawa, kwenye nafasi anazocheza Mzize, naanza na Mzize, sioni mbadala wake.
He is drive and energy, ana Kasi na nguvu ya kuwasumbua mabeki
 
Yanga kama hatutaacha ujinga wa kumchezesha mzize dakika 80 hadi 90 tutaendelea kukosa kushinda mechi nyingi tu.

Hii mechi kama ingekuwa na mshambuliaji makini toka mwanzo tungeshinda sio chini ya goli tatu.

Mzize sio tu hana ubora wa kucheza dakika 80-90 yanga, hana hadhi ya kuichezea yanga
Nzize, mmmh.....! ngoja kwanza ncheke.!

Umesema Sio tu hana ubora wa kupewa dk 80-90, bali hata hadhi ya kuchezea Yanga hana...!

Maoni Ya Shabiki Yaheshimiwe.. ! Mashabiki ndio Wanaoumia Zaidi.
 
Hata Ki walisema ni hasara ,ngoja again equilibrium ,yanga hawajawahi kukosea kwenye signing.
 
I agree with you on Chama and Baleke.
I have been saying for so long chama has no technical ability and he is not a million shillings player. we have been robbed and this season will show it. Chama is not as good as sawadogo or babacar sarr or kapama. Sawadogo or babacar sarr they are very good on passing and assisting goals. Babacar sarr can assist up to 20 or 30 goals per season, last season he assisted 28 goals to Jobe and Fred
Chama is too old, I’m desperately waiting for retirement announcements from him

Baleke is really an average striker, he’s not on the level of Fred or Pa Omar Jobe. Yes pa Omar Jobe, Jobe link up play is strong, he’s strong on the ball and very strong in scoring goals, his scoring ability can not be matched. He can score even 30 to 40 goals per season.
Baleke is known for scoring tap ins, unlike Jobe who can score from any angle
 
People might be asking what do you eat or smoke.
 
Haujui Mpira Boka ni mchezaji mbovu kweli yaani mkipata Hisence TV basi na ninyi ni wachambuzi mnakera kweli baadae ukija kujua ulichoandika ni madudu mno..
 
Yanga kama hatutaacha ujinga wa kumchezesha mzize dakika 80 hadi 90 tutaendelea kukosa kushinda mechi nyingi tu.

Hii mechi kama ingekuwa na mshambuliaji makini toka mwanzo tungeshinda sio chini ya goli tatu.

Mzize sio tu hana ubora wa kucheza dakika 80-90 yanga, hana hadhi ya kuichezea yanga
Mzize anazidiwa kwa mbali sana na Samson mbangula Kwenye mbinu ya kufunga labda tu nidhamu , kupambana uwanjani na kuelewana sana na gamondi ndio kumembakiza .
 
Haujui Mpira Boka ni mchezaji mbovu kweli yaani mkipata Hisence TV basi na ninyi ni wachambuzi mnakera kweli baadae ukija kujua ulichoandika ni madudu mno..
sija sema mbovu. he needs improvements in attack alot of back passes jana.
but
defensively he is better than kibabage. in attack kibabage ni goat.
 
Mchezaji kama haumjui na Timu imemnunua mfatilie Timu aliyotoka utapata majibu sio unaandika andika tu..Boka anapanda kama Winger kumbe ni beki na anafunga sana magoli subiri utamuona..
 
every rwb and lwb does that. ila jana i didn't see that. I saw a defensively minded left back
 
Nahisi albadr ya Kurjuan ya Mzee Magoma ndio imeanza kuwaandama wachezaji wa Yanga!😁😁😁😁
 
every rwb and lwb does that. ila jana i didn't see that. I saw a defensively minded left back
Sio kila beki anacheza hivyo ni wachache wapo hivyo kama Cucullea mkuu mpira una njia zake sio kusema tu lazima acheze hivyo wakati hana uwezo wa kupanda na kushuka..
 
Kwa assessment ipi umetumia mkuu,mapema relax utaanza ona show zao Tarehe 8.
 
Mzize anazidiwa kwa mbali sana na Samson mbangula Kwenye mbinu ya kufunga labda tu nidhamu , kupambana uwanjani na kuelewana sana na gamondi ndio kumembakiza .
Kuna watu wanajaribu kusema ndiye mshambuliaji mzawa mwenye kiwango bora. Napinga vikali.

Mshambuliaji gani amezungukwa na wachezaji wenye quality kubwa kama azizi, max, pacome na unashindwa kuonesha makali?

Naamini ukiwachukua washambuliaji wazawa ukawapa mechi kumi kumi tu pale yanga wakacheza na Max, pacome, aziz pale mbele mzize utamuona ni takataka
 
Back
Top Bottom