Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,268
- 3,429
Mbadala wa mzize wapo wengi sana.Kinacho mbeba Mzize ni uraia na umri wake labda, lakini naamini hata kocha anakerwa na madudu yake.
Ila hata mimi kwaupande wangu, kwa wachezaji wa zawa, kwenye nafasi anazocheza Mzize, naanza na Mzize, sioni mbadala wake.
Mzize anacheza mbele ya wachezaji wenye quality kubwa kwenye ligi lakini anaboronga.
Sasa wachukue washambuliaji wazawa uwape mechi kumi kila mmoja pale yanga, wakae mbele ya aziz, pacome na max naamini watakuwa magoli sawa au zaidi ya aliyofunga mzize msimu mzima.