Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

Mbadala wa mzize wapo wengi sana.

Mzize anacheza mbele ya wachezaji wenye quality kubwa kwenye ligi lakini anaboronga.

Sasa wachukue washambuliaji wazawa uwape mechi kumi kila mmoja pale yanga, wakae mbele ya aziz, pacome na max naamini watakuwa magoli sawa au zaidi ya aliyofunga mzize msimu mzima.
Huyo Mzize mtamlaumu bure tu. Hakupata makuzi sahihi ya kimpira, mmemtoa kwenye kuendesha bodaboda alikuwa kashaachana na mamipira, leo mnataka acheze kama Bebeto.
 
Mpumalanga, Republic of South Africa

FC Augsburg wins the friendly match in the Mpumalanga Premier's International Cup against Young Africans SC from Tanzania! FCA TV has the highlights of the game!

#FCAinMpumalanga | #Highlights | Young Africans SC vs. FC Augsburg

View: https://m.youtube.com/watch?v=CDk6m7vreVA
Der FC Augsburg gewinnt das Testspiel im Rahmen des Mpumalanga Premier's International Cup gegen den Young Africans SC aus Tansania! Das FCA TV hat die Highlights der Partie!

Source : FC Augsburg

24 July 2024

The Football Intel we cover a wide range of football-related content, including news, match analysis, player profiles, transfer rumors, and engaging discussions.

View: https://m.youtube.com/watch?v=cMeFlVepm6s
 
Young Africans now are a level higher in African Football

Focus on Jean Baleke , Clatous Chama

View: https://m.youtube.com/watch?v=RF_IYuJdsQQ
The Football Intel is a dedicated online fan page created for passionate football enthusiasts. Our mission is to provide a vibrant and interactive platform where fans can come together to share their love for the beautiful game
Source : Football Intel
 
Hili jambo nilisema msimu uliopita, nilipiga kelele sana juu ya Mzize hadi nikaonekana nina chuki naye binafsi.

Kama sio upumbavu wa Mzize tungecheza fainali ya CAFCL, ile robo fainali dhidi ya Mamelody tulikuwa tunaimaliza hapahapa nyumbani.
Wakipekee
Da hii komenti Leo ndo nimeiona... Ni kweli Mzize msimu uliopita alizingua sana hata Mimi kwenye game nilimtukana matusi yote lakini msimu huu naona kaimprove sana .. tutarajie mazuri....

Hata Suarez wakati anasajiliwa Liverpool alikua anakosa magoli ya wazi lakini baadae alikuja kua mtu hatari
 
All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except;

DUBE
This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost his aggressiveness that he used to have in Azam. I hope he improves.

DUBE can't press sio Yanga material kabisa.

BOKA
He was so relaxed on the wing, very good in defence poor in attack . I think Kibabage will keep the number, he was injured just minutes in the pitch. Huyu tumepigwa. I hope he recovers and improve his performance. Mr back passes so far

CHAMA
HE IS OLD

BALEKE
He needs to cooperate na wengine, despite scoring Baleke can't press, can't assist, ni mzigo kwa team, ie sio YANGA Materials kabisa. Improve au bora Mzize.

GUEDE should have stayed,

Abuya na wengine ni bonge la group la wachezaji, the best signing hongera Engineer.

*after thread comments *
- ukisoma comments mashabiki wa yanga are furious. ila Yanga is better without these players.

Unless players improve their performance within the team, then they should be looking for alternatives.

huo ndo ukweli. Acha kulia kulia
Juzi Abuya alikuwa mbovu, leo bonge la mchezaji. Hudhani kwamba wewe ndio una matatizo?
 
Za usubuhi mzee wa kidhungu.
 
naamini muda huu umeufyata
 
Hivi huyu boya sio mwasibu anajaribu kuja kivingine? Mbona ana ufala sana kuhusu Yanga?
 
Back
Top Bottom