Yanga bad signing this season ni Dube, Boka, Chama and Baleke

Huyo Mzize mtamlaumu bure tu. Hakupata makuzi sahihi ya kimpira, mmemtoa kwenye kuendesha bodaboda alikuwa kashaachana na mamipira, leo mnataka acheze kama Bebeto.
 

24 July 2024

The Football Intel we cover a wide range of football-related content, including news, match analysis, player profiles, transfer rumors, and engaging discussions.

View: https://m.youtube.com/watch?v=cMeFlVepm6s
 
Young Africans now are a level higher in African Football

Focus on Jean Baleke , Clatous Chama


View: https://m.youtube.com/watch?v=RF_IYuJdsQQThe Football Intel is a dedicated online fan page created for passionate football enthusiasts. Our mission is to provide a vibrant and interactive platform where fans can come together to share their love for the beautiful game
Source : Football Intel
 
Da hii komenti Leo ndo nimeiona... Ni kweli Mzize msimu uliopita alizingua sana hata Mimi kwenye game nilimtukana matusi yote lakini msimu huu naona kaimprove sana .. tutarajie mazuri....

Hata Suarez wakati anasajiliwa Liverpool alikua anakosa magoli ya wazi lakini baadae alikuja kua mtu hatari
 
Juzi Abuya alikuwa mbovu, leo bonge la mchezaji. Hudhani kwamba wewe ndio una matatizo?
 
Za usubuhi mzee wa kidhungu.
 
naamini muda huu umeufyata
 
Hivi huyu boya sio mwasibu anajaribu kuja kivingine? Mbona ana ufala sana kuhusu Yanga?
 
Naunga mkono hoja 🤣 😁
Mwenyewe anakwambia..

BOKA
He was so relaxed on the wing, very good in defence poor in attack . I think Kibabage will keep the number, he was injured just minutes in the pitch. Huyu tumepigwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…