Yanga bado hakuna professionalism

Yanga bado hakuna professionalism

Kwa mfano wako huu, basi hata walimu waanze kulipwa mishahara na posho nono kama zile za wabunge.

Maana wanafanya kazi katika mazingira magumu, ukilinganisha na wabunge ambao kazi yao kubwa ni kugonga tu meza na kuitikia 'ndiyooooooo'!!

NB: mshahara kwa mchezaji unatokana na yeye mwenyewe kukaa mezani na mwajiri wake, halafu wanafanya makubaliano.

Duniani kote mishahara ya wachezaji huwa hailingani. Kila mchezaji hulipwa mshahara kutokana na mkataba wake alioingia na club. Hakuna njia ya mkato kama hiyo ya Fei Toto.

Tate Mkuu
Kizuri chajiuza, yanga wasipoiona thamani fei atawatoka ilhali bado wanamtaka
 
Kumbe morrison yupo kwao mpk leo? Kaenda paternity livu nini?

Alienda kula bata new year.. kulipua mafataki na washkaji zake kitaaa... bado ana hang over za new year... japo anapost ma photo shoot na dada zake wakiwa na jezi za yanga ili wananchi wafurahiiii
 
Tate Mkuu
Kizuri chajiuza, yanga wasipoiona thamani fei atawatoka ilhali bado wanamtaka
Fei toto anajimaliza kwa tamaa zake mwenyewe. Ana kiwango kizuri, lakini amekosa elimu ya kujitambua kama mchezaji wa kulipwa.

Alitakiwa kukaa mezani na viongozi wake, ili aongeze hata mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake; na hivyo kuboreshewa maslahi yake mara dufu. Ndivyo wenzake wanavyofanya kote duniani.

Au angevumilia mpaka mwaka wa keshokutwa 2024, angesajiliwa Azam kwa hilo dau alilotaka. Kitendo cha kutumia njia ya mkato, hakikubaliki katika dunia ya wastaarabu.

Hawezi kulinganisha mshahara wake na wachezaji wengine, na wakati kila mchezaji amesaini mkataba kivyake.
 
Tulieni, Yanga ina kikosi kipana.
Tukutane kesho kwenye uzi huu baada ya mechi
 
Yanga wanashangaza sana

Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M

Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe

Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Wewe baki kuwa chawa wa CCM Mambo ya mpira yana taratibu zake!!.
 
Yanga wanashangaza sana

Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M

Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe

Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Wewe nae sijui unaandika nini,huo mkataba Feisal hakuuona wakati anasaini?
 
Yanga wanashangaza sana

Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M

Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe

Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Wewe Mama hebu tueleze mshahara wako shingapi kama hiyo 3M unafiksha na ni ndogo?

Feisal si alisaini Mkataba mwenyewe kwani alishikiwa Bunduki ajaze??
 
Mchezaji gani yule?, Angekuwa na ubora wake Tp wasingemuacha... Ngada wew😅
Walimuacha wapi wakati alikuwa timu huko lebanon
Punguani wewe
 
Walimuacha wapi wakati alikuwa timu huko lebanon
Punguani wewe
😅😅😅 Huna unachokijua gobole hilo lilikuwa kwa mkopo huko na akarudi mazembe bado Simba imemchukua kwa mkopo.... Tupe takwimu zake ewe kundu la msimbazi ...
 
Wewe Mama hebu tueleze mshahara wako shingapi kama hiyo 3M unafiksha na ni ndogo?

Feisal si alisaini Mkataba mwenyewe kwani alishikiwa Bunduki ajaze??

Sawaaa alisign bila bunduki😎
 
😅😅😅 Huna unachokijua gobole hilo lilikuwa kwa mkopo huko na akarudi mazembe bado Simba imemchukua kwa mkopo.... Tupe takwimu zake ewe kundu la msimbazi ...
Sawa gobole linaua utamfananisha na msukule kambole? halafu alimzidi bwanako mayele kwa ufungaji 20/21 kazana kulia
 
Yanga wanashangaza sana

Wako radhi wawalipe wageni 20M ila feisal anayewafungia kila match wampe 3M

Binafsi natamani dogo apate team ya maana hata kama ni mkataba avunje awalipe

Mpira una umri asijezeeka na jina kubwa bila mali
Angekua anafunga kila mechi si angekua top scorer?
 
Back
Top Bottom