Yanga bado mna vita kubwa. Mnahitaji kuwa more professionals na uwezo mnao, maamuzi ni yenu.

Yanga bado mna vita kubwa. Mnahitaji kuwa more professionals na uwezo mnao, maamuzi ni yenu.

PakiJinja

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2012
Posts
11,689
Reaction score
25,848
Yanga kwa maana ya viongozi na wachezaji, Ushindi wenu na dhidi ya Rivers United kule Nigeria ni chachu tu kuelekea safari amnayo bado ni mdefu pamoja na kuonekana kama safari iliyobaki hatua tatu tu.

Waacheni mashabiki wenu wafurahie pia wajigambe, lakini ninyi wakati wenu wa kujipongeza haujafika, bado mna vita kubwa mbele yenu, pia deni kubwa la kulipa, deni litokanalo na imani na matarajio makubwa ya wapenda soka juu yenu.

Mechi ya kesho hampaswi kucheza kama wale mlioshinda mechi ya awali, mechi ijayo mnatakiwa muendelee kutafuta matokeo. Mechi ijayo mnapaswa kuichukulia kama fursa ya pekee ya kujiandaa na mechi itakayofuata, fursa ambayo ni lazima iwapatie matokeo.

Tabia ya kucheza kwa hisia kuwa mmeshashinda mechi ya kwanza hivyo mna kazi nyepesi ya kufanya mnapaswa kuifuta, hiyo ni tabia ambayo ni unprofessional. Kumbukeni, mechi hii ni ni sehemu ya majukumu yenu kwa timu. Wapenzi, wanachama na mashabiki wanahitaji burudani itakayowaletea matokeo, jawaji kuangalia timu iliyoshinda mechi iliyopita bali wanakuja kuangalia timu yenye uwezo inayoelewa maana ya mashindano na kutafuta matokeo kwenye kila mechi.

Haya kwenye ligi, hampaswi kubweteka sababu ya pengo la point kati yenu na timu nyingine, bali muendelee kuheshimu timu nyingine kwa kuendelea kupambana nao hadi mwisho.
 
Kwenye loser huku lolote linaweza kujiri.

Ila mnacheza na timu mbovu (japo na nyie ni wabovu)

Nimeoata habari kuwa Rivers wanakuja siku moja kabla ya mchezo, hiyo ni kutokana na ukata wa kuweza kumudu gharama za hotel

Hiyo itawapa advantage Uto kwasababu Rivers United watakuwa na uchovu, plus wakifika itawabidi wafanye mazoezi siku hiyo hiyo.
 
Hauoni kuwa unawatafutia Rivers United sababu ya kufungwa? Kule kwao hawakusafiri wala kuwa na uchovu lakini bado walifungwa.
 
Back
Top Bottom